Hapana mkuu, mimi ni NdakilaweHivi Wewe sio lucas urasa? maana miandiko na na eneo la tukio ni mulemule.
Anza upelelezi na honey wako..
why kakaMkuu wewe ni msanii bila shaka!
Hao ni vibaka.Jambazi na KakaJambazi wanahusika.
PointFundi wajenzi wanatabia ya kugonga funguo kwenye sabuni wanaenda kuchonga kopi rait;
Hela lazima ulale nayo beneti heri ukose tendo la ndoa hela ilale kwenye bukta;
Ndio dawa yao hiyo
Muuza chips akisikia kelele za mwizi akikosa jiwe anaenda kumpiga mwizi na karai la kupikia chips.Ndio dawa yao hiyo
umeona eeeh unaweka vitasa na milamgo iwe na komeoinasemekana njia sahihi ya kujifungia ndani.. ni kufunga kwa komeo kwa ndani.... hapo mtu hata aje na funguo malaya gani hawezi kuufungua yeye akiwa nje..