inasemekana njia sahihi ya kujifungia ndani.. ni kufunga kwa komeo kwa ndani.... hapo mtu hata aje na funguo malaya gani hawezi kuufungua yeye akiwa nje..
Gari zote mbili wamepangusa watu wamelala tu?!! Ila siku hizi kuna kamtindo ka kujiibia vifaa vya magari!Pole sana ndugu Ndakilawe
Mwingine kaamka leo kakuta gari yake imetedwa hivi!
View attachment 423392
View attachment 423393
View attachment 423395
View attachment 423396
View attachment 423398
View attachment 423399
View attachment 423400
Popote??? Hahahaaa hata kama ni hasira za kuibiwa ila si kusema popote Wanapouza tv tukwambieHabari za Asubuhi wadau,
Juzi jumamosi maeneo ya Tabata Liwiti, majira ya saa kumi alfajiri nimestuka kuona mlango wa chumbani kwangu upo wazi, niaamka fasta, kufika sebuleni nikakuta milango ipo wazi, nikatoka nje fasta nikaona pochi ya honey imetupwa, geti lipo wazi, nikatoka speed nje nikawaona vibaka wanakimbia na pikipiki huku wamekumbatia TV Singsung Inch 42, nikawakimbiza bila mafanikio.
Hawa jamaa waliingiaje ndani? Ndio swali ninalojiuliza mpaka sasa, maana hakuna mlango uliovunjwa wala kitasa cha mlango.
Walichukua TV, wakachukua wallet yenye kilo 6, na kilo 6 ingine ilikuwa mezani (nilikuwa niende site kuwalipa mafundi hivyo nilidroo pesa kiasi bank), simu aina ya Blackberry i10, wakanywa na Heinken 1 kwenye friji na maji ya baridi (manina zao).
Hasira zinanipanda kila nikifikiria walivyomkuta honey kalala naked, bora mm nilikuwa na bukta. Nimejaribu kuwasiliana na jamaa zangu ambao nao wamewahi kupatwa na dhahama kama hii wanasema jamaa wanatumia ushirikina.
Popote mtakaposikia mtu anauza TV, tafadhali mdau wangu, uje inbox fasta unistue...!
Natangaza rasmi, Kuanzia leo popote nitakapokuta mwizi/kibaka anapigwa, lazima nimmalizie.
Basi huna shida ya kuwapata wez wako ungewakimbiza kimya kimya kwa kutumia iyo simuNimeshaiblock simu na laini, sikutaka waitumie kwakuwa ilikuwa na details nyingi sana
Watarudisha wenyewe hivyo vitu.Kawasomee al badri
Kukosa tendo la ndoa na usha ambiwa shemeji alilala uchi ni uzembeFundi wajenzi wanatabia ya kugonga funguo kwenye sabuni wanaenda kuchonga kopi rait;
Hela lazima ulale nayo beneti heri ukose tendo la ndoa hela ilale kwenye bukta;
Asee bwashee hii kitu. I serious lakini kwa ulivyopresent umeifanya iwe kama kichekesho flani. Ila pole mwanangu. Kama wewe na mama mpo hai na hawajamgusa mamsap basi hizo hela zinatafutwa tu..... Ile Heineken imeniuma.... Halafu hao mabwege hata Ladha ya hiyo bia hawaijui...Habari za Asubuhi wadau,
Juzi jumamosi maeneo ya Tabata Liwiti, majira ya saa kumi alfajiri nimestuka kuona mlango wa chumbani kwangu upo wazi, niaamka fasta, kufika sebuleni nikakuta milango ipo wazi, nikatoka nje fasta nikaona pochi ya honey imetupwa, geti lipo wazi, nikatoka speed nje nikawaona vibaka wanakimbia na pikipiki huku wamekumbatia TV Singsung Inch 42, nikawakimbiza bila mafanikio.
Hawa jamaa waliingiaje ndani? Ndio swali ninalojiuliza mpaka sasa, maana hakuna mlango uliovunjwa wala kitasa cha mlango.
Walichukua TV, wakachukua wallet yenye kilo 6, na kilo 6 ingine ilikuwa mezani (nilikuwa niende site kuwalipa mafundi hivyo nilidroo pesa kiasi bank), simu aina ya Blackberry i10, wakanywa na Heinken 1 kwenye friji na maji ya baridi (manina zao).
Hasira zinanipanda kila nikifikiria walivyomkuta honey kalala naked, bora mm nilikuwa na bukta. Nimejaribu kuwasiliana na jamaa zangu ambao nao wamewahi kupatwa na dhahama kama hii wanasema jamaa wanatumia ushirikina.
Popote mtakaposikia mtu anauza TV, tafadhali mdau wangu, uje inbox fasta unistue...!
Natangaza rasmi, Kuanzia leo popote nitakapokuta mwizi/kibaka anapigwa, lazima nimmalizie.
Aika Meku, Mkuu, sina jinsi ya kuelezea maana, hawa mapimbi sasa wananifanya niangalie taarifa ya habari ya ITV bar kila saa mbili usiku...!Asee bwashee hii kitu. I serious lakini kwa ulivyopresent umeifanya iwe kama kichekesho flani. Ila pole mwanangu. Kama wewe na mama mpo hai na hawajamgusa mamsap basi hizo hela zinatafutwa tu..... Ile Heineken imeniuma.... Halafu hao mabwege hata Ladha ya hiyo bia hawaijui...
wakwetu.kabisaa kwa tapoHabari za Asubuhi wadau,
Juzi jumamosi maeneo ya Tabata Liwiti, majira ya saa kumi alfajiri nimestuka kuona mlango wa chumbani kwangu upo wazi, niaamka fasta, kufika sebuleni nikakuta milango ipo wazi, nikatoka nje fasta nikaona pochi ya honey imetupwa, geti lipo wazi, nikatoka speed nje nikawaona vibaka wanakimbia na pikipiki huku wamekumbatia TV Singsung Inch 42, nikawakimbiza bila mafanikio.
Hawa jamaa waliingiaje ndani? Ndio swali ninalojiuliza mpaka sasa, maana hakuna mlango uliovunjwa wala kitasa cha mlango.
Walichukua TV, wakachukua wallet yenye kilo 6, na kilo 6 ingine ilikuwa mezani (nilikuwa niende site kuwalipa mafundi hivyo nilidroo pesa kiasi bank), simu aina ya Blackberry i10, wakanywa na Heinken 1 kwenye friji na maji ya baridi (manina zao).
Hasira zinanipanda kila nikifikiria walivyomkuta honey kalala naked, bora mm nilikuwa na bukta. Nimejaribu kuwasiliana na jamaa zangu ambao nao wamewahi kupatwa na dhahama kama hii wanasema jamaa wanatumia ushirikina.
Popote mtakaposikia mtu anauza TV, tafadhali mdau wangu, uje inbox fasta unistue...!
Natangaza rasmi, Kuanzia leo popote nitakapokuta mwizi/kibaka anapigwa, lazima nimmalizie.
Kitu pesaFundi wajenzi wanatabia ya kugonga funguo kwenye sabuni wanaenda kuchonga kopi rait;
Hela lazima ulale nayo beneti heri ukose tendo la ndoa hela ilale kwenye bukta;
Ndiyo nini comment yako hii?sio bure Huyu atakua mhaya huyu ukisoma uzi wake utaelewa uhaya wake ila ana bahat sana hawajamlawiti
Kufunga kwa komeo ndani na kupiga kufuli hilo komeo, labda waje na "fatuma" kuvunja mlango.inasemekana njia sahihi ya kujifungia ndani.. ni kufunga kwa komeo kwa ndani.... hapo mtu hata aje na funguo malaya gani hawezi kuufungua yeye akiwa nje..
Pole sana usiku funga mlango chomoa funguo hakikisha sehemu ya kuingilia darini imezibwa (kuna nyumba kuna sehemu huachwa wazi kuingilia kwenye dari ceiling) mashetani hawa. Poole sana.Habari za Asubuhi wadau,