Wewe dada nakuhurumia... 30 yrs!

Wewe dada nakuhurumia... 30 yrs!

Huu uzi umewauma sana akina dada ambao bado hawajaolewa nakuwakatisha tamaa baadhi ya wanaume ambao wako kwenye uchumba na wanawake ambao ni 30+,kikubwa wanawake wasikubali kuchezewachezewa hovyo,matokeo yake baadhi ya wanaume wenzetu wanaona kwamba mwanamke mwenye umri mkubwa anakua katumika sana wakati yawezekana siyo kweli kwa baadhi.Mjitunze jamani,tembeeni na wanaume wachache kabla ya ndoa ili hata mtazamo wa watu juu yenu ubadilike.Hebu nyie akina dada angalieni wanawake wanavyolala hadi asubuhi kwa wanaume,hao wanawake wanaenda mavyuoni wakiwa labda na miaka 18,anafika huko anatumika wee hadi mwisho wa kozi husika,baada ya hapo anapangiwa kazi kituoni kwake,lets say kazi ya unesi,anapigwa weee hadi anafikisha miaka 30+,huyo mwanamke kuolewa inakua shida sana hasa kwasasa,mtu anaona bora nayeye amchukue mdada ambaye anaweza akaanza kumchosha hadi afike 30 akiwa kwenye mikono yake.Poleni sana akina dada ambao bado hjaolewa,wengine wanajitahidi sana ku-care wanaume,wanawanunulia hadi vyombo vya usafiri ili adhma ya kuolewa itimie lakini wapi,nikifikiria msimu wa baridi unaokuja kuanzia mwezi ujao hadi mwezi wa sita,wakina dada wengi waliojipangia watakua kwenye stress sana na wengine kuamua kuchukua wanaume hata wawatu ili kupunguza ubaridi nahivyo kuendelea kujiweka kwenye mazingira yakutoweza kuolewa kirahisi na watafuta wachumba kisa wataonekana wahuni kumbe ni baridi na upweke ndiyo unawafanya wafanye hivyo.
 
Namuunga Mkono mtoa Mada..mwanamke wa 30+ wengi wao K Za Baridi kama Barafuu..Wengi wao pia Mimba Mpaka Kufikia Umri Uo Uwa Washatoa Sio Chini Ya Mimba 3 Mpaka 5.Kiukweli Mtoa Mada Nakuunga Mkono 100%
 
Mtoa mada hajatumia kauli nzuri lakini naona amekua mkweli. Baadhi ya watu wamepost unafki tu.

Mwanamke mpka anafikisha miaka 30 bado hajaolewa, vipi hakuwahi kuwa na mahusiano, kachezewa na wanaume tena wengine kuna uwezekano wapo humu wamejificha nyuma ya fake ID wanamtukana mtoa mada.

Wewe mwanamke uliyefikisha miaka 30 na hujaolewa, si ndo mnapenda kufanya ngono kwenye gari, mnaona kufanya mapenzi siku ya kwanza kukutana na mwanaume ni sawa. Eti na wewe una hamu. Nani atakuoa..!??

Endeleeni kufanya maigizo hapa jf na kujiona wasafi na mliostaarabika, lakini ukweli mnaujua huko kwenye jamii.
Kwani asipoolewa weye unapata hasara gani labda tuliza ....chini
 
Huyo atakuwa anatumia vilainishi vilivyopigwa marufuku na wizara ya afya. 40+ k haitoi majimaji tena inakuwa inakauka. Anavumilia tu huyo. atakuwa anaumia mno ila atafanyaje sasa na anahitaji ugali toka kwako
Kamsaidie ksma unahisi ansumis
 
Madem wapo kibao ndugu, kwann uoe jitu zima. Tafuta dogodogo hata hao vibabu wenyewe wanatafuta dogodogo ndio uje kuwa wewe.
 
Though sijafika 30 ,lkn mm sioni ubaya wa mtu kufika hadi umri huo bila kuolewa. Ni kweli changamoto ni nyingi lkn pia sisi hatuna mamlaka ya kuwadiss kiasi hiki. Watu tunatofautiana mitazamo,wkt ww hupendi WA 30 yrs mwingine anapenda,wkt ww huendi mnene mwingine ndio anapenda n.k. Na Kuwa na 30 yrs and above haimaanishi mtu katembea na wanaume lukuki.
Kuweni na busara japo kidogo basi.
 
Utakapojua maana ya ndoa ni nini hutakaa na mawazo ya kiseng* kama haya. Wangapi waliingia kwenye ndoa na wametoka? Unajua ndoa ni nini?. Unafikiri ndoa ni pale ukumbini mkiwa mna serebuka..
 
Mkuu,wengi wenye huo umri wengi wao wanajitegemea,kwahiyo kama nikugegedwa wanagegedwa sana kwani mwanaume anaweza akaenda akakaa wikendi nzima anagegeda tu,hata hivyo wanakua huru sana ukilinganisha na wadada wa 21+ ambao wengi wao wako nyumbani au wanamaliza masomo,hawa 30+ ni wanawake wakuogopa sana,wanakua wamejibidiisha sana kusaka waume.
 
Mwanaume bure wewe. .
Huyo wa miaka21 unayemshobokea wewe K yake imelegea kuliko na anapenda wazee wa miaka60 mfyuuuu


Ungejuwa ninavyokupenda wewe, basi tu. Karibu nyumbani basi tuongee kidogo.
 
Mtoa mada umesema una umri wa miaka 30 lakini mm Nina mashaka naona bado uko kwenye foolish age.
 
Utakapojua maana ya ndoa ni nini hutakaa na mawazo ya kiseng* kama haya. Wangapi waliingia kwenye ndoa na wametoka? Unajua ndoa ni nini?. Unafikiri ndoa ni pale ukumbini mkiwa mna serebuka..
Aliyeingia na kutoka atulie tu sasa. Asiendelee kuomba eti apate mume mwema. Ndoa zinawashibda kwa kuwa hamzingatii kigezo cha 6*6. Mnaangalia elimu, Mali, umri n.k
 
Mkuu,wengi wenye huo umri wengi wao wanajitegemea,kwahiyo kama nikugegedwa wanagegedwa sana kwani mwanaume anaweza akaenda akakaa wikendi nzima anagegeda tu,hata hivyo wanakua huru sana ukilinganisha na wadada wa 21+ ambao wengi wao wako nyumbani au wanamaliza masomo,hawa 30+ ni wanawake wakuogopa sana,wanakua wamejibidiisha sana kusaka waume.
Wanaganda hao, wanajitia ku-care mpk unawastukia kuwa hawa si bure wana mapungufu
 
Back
Top Bottom