Wewe dada nakuhurumia... 30 yrs!

Wewe dada nakuhurumia... 30 yrs!

Mim nipo Nina miaka 31 natafuta Mwanamke mwenye miaka 30 wakuoa, aje Pm. Tuzungumze
 
haya mambo acheni tu hao wadada wa 18+ plus ndo wanatumika cna na wengi k zao zishapwelepweta yaani rambo hazitamaniki kbsa na unaweza kuta 30 k bado mnato furu utam.asee waacheni dada zetu asee age is jxt a number tuu.mm nawala hao hao 30 na niwatam cna .kwanza wanajielewa na wanajua mpnz kuliko hivo vitoto vyenu
 
Anatudhalilisha wanaume wote sio tu eti ana umri mdogo ndo chanzo akili finyu kutojielewa na utoto wa fikra..kuwa na miaka mingi sio upeo wa mtu kukuwa kifikra.
 
Mkuu yaelekea una mchumba ama mwenza wa age hiyo. Maana naona umefunguka balaa
 
Very sad kwamba at 30 years of age bado unatumia mitandao ya kijamii kumpa mwanadada ujumbe ambao hata ukose nidhamu kiasi gani kwenye sms unaweza kumpa.

You are a coward.

Wanawake hawa wa 30's ambao mumekazana kweli kuwasimanga hawana shida hizo za wanaume mnazojifanya kuwasingizia.

Binafsi am proud of these ladies because they are mature and they know what they want. Despair flew out the window like last year.

I mean duh# rolling my eyes.
 
Jiwe litakuwa limekupata mkuu. Mm nilitupa gizani sikujua kama wewe una demu mwenye age hiyo. Tuvumiliane tu, hii ndiyo jf.
 
mimi ni KE, nipo kwenye ndoa. Jiwe halikunipata. Ila nahisi suala la kusaka hela na sio kufunua mabinti vyupi limekugusa kiaina
 
Kwani mwanamke wa miaka 30 ana tatizo gani?..Embu acheni dharau za kijinga bana
 
Ke mwenye 30 bado miaka 10 tu astaafu game ya 6*6. Uzazi ukome na abaki kuwa mtazamaji tu.
 
Back
Top Bottom