Mungu Mweusi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 1,474
- 1,086
Na wale wavulana ambao wana 30 yrs>wamebakiza 10 yrs kupata Tezi DUME oeni haraka
we chilsuk dawa yako ni MUNNO tuSio kwa kuwaponda hivo bwana,, sio fair kabisa
hahahahahahahahaha dah mkuu umenichekesha sana yani,, ila hapo kwa MUNNO(field marshal) huwa sina ujanja kabisawe chilsuk dawa yako ni MUNNO tu
Maisha ni kupanga na kuchagua. Nimechagua haya.Kwa jinsi ulivyoandika tu sio husband material, jiangalie kijana. Ktk umri wako wenzako tunafamilia na watoto tunasomesha shule
Maneno ya bandia haya tushayachoka? Mke angekuwa na thamani msingetujazia saver kila siku kulalamikia ndoa. Wanawake hawapo karne hii. Wamebakia makahaba, opportunists, gold diggers, and the like. Ndiyo maana wazungu kwa kuwa siyo wanafiki wakaanzisha ndoa za mikataba.Mke ni wa kumdhamini hata kama ana miaka 60
Yes buddy that's my fake IDAnajiita sexless
Asante sana mkuu tusio wanafiki tumebaki wachache sana duniani. Wewe ni mmojawapoJamaa yuko sahihi kabisa,
It's chance is very minimalNa wale wavulana ambao wana 30 yrs>wamebakiza 10 yrs kupata Tezi DUME oeni haraka
Ana 30yr halafu kaoa mke 21yr anafikisha 40yr tezi DUME, hapo mke 31yr atatamani ardhi ipasuke au sugar utamkumbuka wa 30yr angekuvumiliaNa wale wavulana ambao wana 30 yrs>wamebakiza 10 yrs kupata Tezi DUME oeni haraka
Lugha siyo ya staha mkuu. Na wewe ukipata mtoto wa kike je? Akafika 30+ hajaolewa? Watch it!"Kiukweli sina mpango wa kuoa mwanamke ninayelingana naye umri. Maana mwanamke mwenye 30 yrs sana sana amebakiza miaka 10 tu ya kuwa active kwenye 6*6. Baada ya hapo K inaanza kusinyaa.
Mimi nina 30 mpaka nikafikishe 60 huko ni leo? Kwahiyo unakuja unajishebedua, unajituma lakini mimi moyo wangu upo kwa mdada mwenye 21.
Nashindwa kukuambia ukweli kwamba mimi naburudika tu kwako, maana jinsi unavyo shoboka nahisi ukiambiwa utapiga yowe la nguvu na kuzimia kabisa.
Wito kwa wadada wenye umri mkubwa tafuteni wazee wa miaka 60 wanaotaka kuongeza wake. Vijana huwa tunaongeza CV tu". Alijitapa mkware mmoja huku uswazi.
Jumapili njema.
Mwanangu mm nitampa elimu ya kutafuta mtoto tu na siyo kuolewa. Kuolewa dunia ya leo ni kutafuta stress. Hakuna waoaji wala waolewaji. Kuna makundi mawili yenye jinsia tofauti yanayo windana ili kugegedana tuLugha siyo ya staha mkuu. Na wewe ukipata mtoto wa kike je? Akafika 30+ hajaolewa? Watch it!
Wewe utakuwa una ajenda ya umarioMe namhtaji above 35 ndo ushangae sasa, tena npo serious hata km ana watoto wawili aje tuunge na wangu, akiwa na ajira its better, me nmeajiriwa serkalini, alie serious aje pm