chadema wote ni TUMBILI
Kwani kumwambia Werema kuwa,"wewe ni mwizi" hilo ni tusi? Hivi kati ya yule aliyemwita mwenziye mwizi na yule aliyemwita mwenziye tumbili nani hasa katoa tusi? Huyu Werema kwa kweli hana maadili ya kiuongozi na ninawasihi wapiga kura wake waone namna asivyofaa kuwa mwakilishi wao na pia Rais Kikwete ajaribu kuangalia upya hii dhamna aliyompa huyu mlevi.TAFRANI iliyojitokeza bungeni juzi kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali Frederick Werema kumuita Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila(NCCR Mageuzi) tumbili, naye kumjibu kwa kumuita mwizi imeingia katika hatua nyingine ambapo wawili hao wamekataa kusuluhishwa.
Chadema wameshamuharibu kafulila kutoa lugha chafu bungeni. Alikuwa ana maadili sana huu muungano wa ukawa utawaharibu na wabunge wa cuf pia. Chadema wanabomoa maadili ya watanzania
Lugha alotoa Werema kafundishwa na CDM pia; kumuita mtoto wa mwezio tumbili ni sahihi? We kweli ndo umevurugwa na CCM. POLE SANA!Chadema wameshamuharibu kafulila kutoa lugha chafu bungeni. Alikuwa ana maadili sana huu muungano wa ukawa utawaharibu na wabunge wa cuf pia. Chadema wanabomoa maadili ya watanzania
Kwanini amuombe radhi tumbili? Radhi huombwa binadamu tu.
Werema hanaga hoja,hata kujieleza kwake ni shida,akili yake na mwili wake ni vya kupangiwa na kuongozwa ila sio vya kujiongoza,kila awapo bungeni hajui wadhifa wake,kazi yake hata kutetea au kuelezea kama mwanasheria mkuu,majukumu yake..Kwani kumwambia Werema kuwa,"wewe ni mwizi" hilo ni tusi? Hivi kati ya yule aliyemwita mwenziye mwizi na yule aliyemwita mwenziye tumbili nani hasa katoa tusi? Huyu Werema kwa kweli hana maadili ya kiuongozi na ninawasihi wapiga kura wake waone namna asivyofaa kuwa mwakilishi wao na pia Rais Kikwete ajaribu kuangalia upya hii dhamna aliyompa huyu mlevi.
Serukamba leo kawa mbunge wa Chadema tena? Eh! ama kweli Jf imevamiwa na mabogus hasa
Hao watoto kama ni wakike anipe mmoja niwe napiga
na je kama una sura kama ya tumbili ukaitwa tumbili nalo ni tusi?