Ndallo
JF-Expert Member
- Oct 1, 2010
- 7,621
- 4,311
Mimi naona kama wewe ndio umeshaharibiwa!Chadema wameshamuharibu kafulila kutoa lugha chafu bungeni. Alikuwa ana maadili sana huu muungano wa ukawa utawaharibu na wabunge wa cuf pia. Chadema wanabomoa maadili ya watanzania