Chadema wameshamuharibu kafulila kutoa lugha chafu bungeni. Alikuwa ana maadili sana huu muungano wa ukawa utawaharibu na wabunge wa cuf pia. Chadema wanabomoa maadili ya watanzania
Mungekuwa munawaheshimu watoto wenu musingekuwa munalopoka ovyo ovyo,mbona munakula rushwa bila hata kujali watoto wenu kesho watakuwa wapi, WEREMA wakati unamuita mwenzio tumbili wewe hukujua kama una watoto, pili siamini kama watoto eako werema wamesikia coz wako ughaibuni,mungekuwa mnazingatia maadili na kuwaogopa watoto wenu je yanayo fanyika na kusemwa ndani ya bunge la katiba mbona hamuyasemi....WEREMA NA SERIKALI YENU YA CCM WOTE WEZI TENA MAGAIDI
Chadema wameshamuharibu kafulila kutoa lugha chafu bungeni. Alikuwa ana maadili sana huu muungano wa ukawa utawaharibu na wabunge wa cuf pia. Chadema wanabomoa maadili ya watanzania
Nimekupa like kwa pumbaChadema wameshamuharibu kafulila kutoa lugha chafu bungeni. Alikuwa ana maadili sana huu muungano wa ukawa utawaharibu na wabunge wa cuf pia. Chadema wanabomoa maadili ya watanzania
Actually, Warema ndiyo kamtukana zaidi Kafurira kwa kumfanananisha na Tumbili ......................... yaani kamvua utu wake kabisa. Kuitwa Mwizi hakukutoi utu wako bali heshima...................... sasa kama hataki usuluhishi si atake actions!!
Chadema wameshamuharibu kafulila kutoa lugha chafu bungeni. Alikuwa ana maadili sana huu muungano wa ukawa utawaharibu na wabunge wa cuf pia. Chadema wanabomoa maadili ya watanzania
Chadema wameshamuharibu kafulila WEWE MREMA AMEKUHARIBU PALE MARANGU MTONI
NAONA UNANIKOSEA ADABU KIJANA.
Hivi ukiwa mwizi na ukaitwa mwizi hili nalo ni tusi? Haya ni mapya kwa kweli!
Hao watoto kama ni wakike anipe mmoja niwe napiga
NAONA UNANIKOSEA ADABU KIJANA.
kijana atakuwa anakufahamu IN & OUT
Kweli, ni heri atangaze posa kama ni njiwa tupeleke maana tangu. Waibe inatosha werema kaa chonjo jao watoto wpte tunao
Wasiwe na nidhamu kabisa kwa mijizi kama Werema ikiwezekana ijizee kisago tu pambaf!Vijana wa DOTCOM hawana nidhamu kabisa.
Chadema wameshamuharibu kafulila kutoa lugha chafu bungeni. Alikuwa ana maadili sana huu muungano wa ukawa utawaharibu na wabunge wa cuf pia. Chadema wanabomoa maadili ya watanzania