Werema: Nina watoto halafu natukanwa?

Werema: Nina watoto halafu natukanwa?

Werema ametumia technique ya kukataa kusuluhu ili kufunika escrow atention
 
nimefurahi sana kusikia hili,,, " ETI TUNA WATOTO" kama mnalijua hilo mbona mnaiba mali ya umma, nyie niwezi tu tena hamna tofauti na wale wapenda dezo,,, hao watoto mnaosema mnao mbona mnawasomesha na kuwalisha kwa kuwaibia wananchi wa tanzania??? suala hapa ni kuacha au kutoshilikiana na wezi wanaoiba mali ya umma,, wewe AG kama unataka tusikuite mwizi uwe unasema ukweli na kusimamia kweli kama mwanasheria mkuu hapo bungeni kuhusiana na mali za umma wa watanzania.. na bado watanzania wataanza kuwapiga na mawe au kuwaitia wezi mpitapo na Ma v8 yenu huku mtaani, na watoto wenu hawatakuwa salama huku mtaani kwani nao tutawaita wezi kwani huishi kwa kutumia hela za wizi...wa mali ya umma...

SIKU AKIPATIKANA RAISI MWEREVU NA MPENDA HAKI, BILA SHAKA ATAWAFUNGA NA VIZAZI VYENU MPAKA VIMADA WENU WANAOTUSUMBUA HUKU MTAANI, IPO SIKU HAKI ITAPATIKANA TU ENDELEENI KUTESA...
 
Chadema wameshamuharibu kafulila kutoa lugha chafu bungeni. Alikuwa ana maadili sana huu muungano wa ukawa utawaharibu na wabunge wa cuf pia. Chadema wanabomoa maadili ya watanzania

Mkuu acha siasa ongea ukweli japo kidogo.welema na kafulila nani alianza alianza kutoa lugha chafu.
 
TAFRANI iliyojitokeza bungeni juzi kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali Frederick Werema kumuita Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila(NCCR Mageuzi) tumbili, naye kumjibu kwa kumuita mwizi imeingia katika hatua nyingine ambapo wawili hao wamekataa kusuluhishwa.

Tujiumbushe kidogo matusi siku za nyuma toka kwa
Mwigulu kwenda Chadema
Kigwangala kwenda kwa Mbowe live Bungeni
Lusinde kwenda kwa Cahedama na hasa Mbowe
Nape kwenda kwa Slaa
Shonza na kundi lake kwenda kwa Mbowe tena very personal attacks lakini siku zote watu wamekaa kimya sasa Werema analeta tabia za waanchari nk does not work that way he take a responsibility on this .

We need to know about ESCROW na heshima na kujiheshimu .
 
kama ni mwizi lazima aitwe mwizi hakuna jina jingine au yeye welema alitaka aitwe fisadi kama wezake ndo ajisikie.Yeye ni mwizi tu na wizi sio tusi ni kazi alionayo ya ziada kama kazi zingine(mkurugenzi wailaya,doctor,mwalimu nazo ni kazi)
 
Werema amekwisha jifukuzisha kazi,rais asipoidhinisha kujifukuza kwake atakuwa hatimizi wajibu wake wa uongozi bora!
 
Dan Alves alibaguliwa kwa kutupiwa ndizi uwanjani akifananishwa na nyani(jamii ya tumbili),dunia nzima walilaani kitendo hicho.Leo hii mwanasheria mkuu wa serikali anamuita binadamu mwenzake tumbili,wajinga wengine wanafurahia na kuona hilo si tusi wala ubaguzi bali kuitwa mwizi ndo tusi!Shame on us Tanzanians.Kwa nini tusiandamane bila kujali itikadi zetu kupinga ubaguzi huu?
 
Chadema wameshamuharibu kafulila kutoa lugha chafu bungeni. Alikuwa ana maadili sana huu muungano wa ukawa utawaharibu na wabunge wa cuf pia. Chadema wanabomoa maadili ya watanzania

na wewe Magamba wamekuharibu kabisa huko nyuma hukuwa hivo kabisa
 
Back
Top Bottom