4kakakuona
Member
- May 13, 2014
- 40
- 4
chadema wote hamna akili kabisa huwezi kumtukana mtu mzima na kiongozi wetu mtukufu. umekulia malezi mabovu sana
Sasa chadema inatoka wapi? Tuliza mapovu wewe!
chadema wote hamna akili kabisa huwezi kumtukana mtu mzima na kiongozi wetu mtukufu. umekulia malezi mabovu sana
na wewe Magamba wamekuharibu kabisa huko nyuma hukuwa hivo kabisa
Sasa chadema inatoka wapi? Tuliza mapovu wewe!
naomba kuuliza, hivi Kafulila na wassira ni nani anayefanania na wale viumbe wa kule Gombe?
dogo naona unanikosea adabu. ndivyo chadema mnamuharibu hata moses machali, kafulila,mkosamali kutoa matusi
Hapana nasema ukiwa mtu wa heshima for that matter in our scenario, kuwa na watot, kuwa macho na matamshi yako! Ukisema ovyo utajibiwa hovyo!kwahiyo kuwa na watoto ndo uwe mwizi au hao watoto wake wana roho mbili mbweha kabisa.
tatizoUsiwe
kama PELICAN, unameza
mazima mazima..... Bichwa lako lifanyishe kazi nyingine zaidi ya Kufuga
nywele.....
Umesoma ujumbe wa Bogus mwenzio niliyem-Quate kuwa Chadema ndiyo Waalimu
wa Matusi?
Umeshindwa kujumlisha hesabu rahisi kabisa kama hiyo? Sasa duniani
utaweza hesabu gani? Masikini Yarabi 🙁
![]()
kwani si aache wizi! ukute hata hayo makinda yake yanakula hela za wizi! aibu kwa familia ya AG kuishi kwa fedha za wizi! AIBU SANA!
baavichaa ni chuo cha matusi
david kafulila hapo nyuma alikuwa kada wa chadema kwahiyo hayo matusi alijifunza akiwa huko chadema kabla hajahamia NCCR
Kwani Werema kaharibiwa na nani? Kama tusi lake sio tatizo bungeni basi nchi hii ina tatizo kubwa la kifikra, zile enzi za zidumu naona bado zinaendelea kwa vijana wengi, wakati ulimwengu mzima ukibadilika kwa kasiChadema wameshamuharibu kafulila kutoa lugha chafu bungeni. Alikuwa ana maadili sana huu muungano wa ukawa utawaharibu na wabunge wa cuf pia. Chadema wanabomoa maadili ya watanzania
na werema alijifunzia wapi matusi? hivi kuitwa mwizi ni matusi!? au na wewe ni mwizi tu kama werema?
Kwani Werema kaharibiwa na nani? Kama tusi lake sio tatizo bungeni basi nchi hii ina tatizo kubwa la kifikra, zile enzi za zidumu naona bado zinaendelea kwa vijana wengi, wakati ulimwengu mzima ukibadilika kwa kasi
Ila AG kuitwa MWIZI NI KITUKO KIKUBWA SANA,NA NDO MAANA WEH-REMAA alipagawa,yaani mwanasheria mkuu eti MWIZI,Mwizi bado ni binadamu, lakini tumbili....
Wemgine hatuna vyama ila tunafatilia siasa,maana zinagusa maisha yetu kwa uchanya au uhasi,una mawazo mgando ndugu mlay, viongozi wanaongoza kwa lugha yenye busara ni toka ccm ambao kusikia lugha ya matusi mdomoni mwao ni hadithi. chadema kila siku mnatoa matusi mfano mbunge wenu sugu