ligendayika
JF-Expert Member
- Aug 31, 2012
- 1,183
- 199
Hapo bungeni wore saws. Kama unawatoto heshimu wanao ukiwa na watoto ukiiba usiambiwe
werema hajui sheri.kiboko wa sheria ni lisu
Na mwanasheria wa serikali hattegemewi kumtamkia mbunge au hata mwananchi wa kawaida kuwa ni tumbili! Anaweza kuwa mtu mkubwa asiyekuwa na staha. Na ikiwa ni mwizi aitweje?wewe huwezi kumtamkia mwanasheria wa serikali ya watanzania wote kwamba ni mwizi. mwanasheria ni mtu mkubwa ana heshima yake mbele ya jamii. bavicha mnakosa maadili kabisa
Heri yako wewe uliyekulia malezi mazuri ya kuita watu tumbili hali ya kuwa nawe ni sokwe usiyejua alipo baba yako halisi.
Ha ha haa! Kama hawa uliowataja ndio kwako viongozi waadilifu nadhani nitakuwa napoteza muda wangu kuendelea kujadiliana na wewe. Jaribu tu kuperuzi kurasa za JF...wote hawa wameongelewa vya kutosha!wa kwanza kiongozi mwadilifu yupo dr. harison mwakyembe,wengine john pombe magufuli,anna tibaijuka, rose migiro, saada mkuya, agrey mwanri. nikuongezee mkuu
chini ya tundu lisu chadema wameshindwa kesi nyingi mahakamani. werema huwezi mfananisha na tundu lisu. werema ni mwanasheria mwadilifu sana na mwenye weledi wa kutosha
Wewe ni tofaut na wachaga wote maana unaonekana huna ufahamu kabisa, au labda umri wako bado san mkuuChadema wameshamuharibu kafulila kutoa lugha chafu bungeni. Alikuwa ana maadili sana huu muungano wa ukawa utawaharibu na wabunge wa cuf pia. Chadema wanabomoa maadili ya watanzania
Sasa ukiitwa mwizi kama wewe sio mwizi kwanini utokwe na mapovu?TAFRANI iliyojitokeza bungeni juzi kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali Frederick Werema kumuita Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila(NCCR Mageuzi) tumbili, naye kumjibu kwa kumuita mwizi imeingia katika hatua nyingine ambapo wawili hao wamekataa kusuluhishwa.
Chadema wameshamuharibu kafulila kutoa lugha chafu bungeni. Alikuwa ana maadili sana huu muungano wa ukawa utawaharibu na wabunge wa cuf pia. Chadema wanabomoa maadili ya watanzania
siyo kila aitwaye mwizi ni mwizi kweli.
Wewe ni tofaut na wachaga wote maana unaonekana huna ufahamu kabisa, au labda umri wako bado san mkuu
Sasa kati ya mimi na wewe nani ana mawazo mgando? Wewe unayesema kumuita binadamu mwenzio tumbili sawa au mimi ninayesema ni tusi? Tatizo lenu vijana wa Tanzania narudia tena kulisema ni mapenzi kwa ccm na si nchi.. kiasi kwamba hutaki kusikia wenye mapenzi na nchi hata unataka kutuaminisha Kafulila ni cdm.., huna haya unatetea ujinga wa kiongozi kiasi hicho, kumbuka alichofanya Kafulila ni reaction iliyotokana na tusi la Werema, hivi unakumbuka nani aliyesema bungeni f***k u? alikuwa mbunge wa cdm au ccm? Hivi unakumbuka kuna aliyesema haongei na mbwa???! Utakuwa kipofu kwaajili ya mapenzi na ccm kwakuwa ukizama kwenye penzi hata chongo huitwa kengeza.una mawazo mgando ndugu mlay, viongozi wanaongoza kwa lugha yenye busara ni toka ccm ambao kusikia lugha ya matusi mdomoni mwao ni hadithi. chadema kila siku mnatoa matusi mfano mbunge wenu sugu
Kwa kweli CCM wanaongoza kwa lugha za matusi Bungeni, hata kiziwi anafahamu hilo...Sasa kati ya mimi na wewe nani ana mawazo mgando? Wewe unayesema kumuita binadamu mwenzio tumbili sawa au mimi ninayesema ni tusi? Tatizo lenu vijana wa Tanzania narudia tena kulisema ni mapenzi kwa ccm na si nchi.. kiasi kwamba hutaki kusikia wenye mapenzi na nchi hata unataka kutuaminisha Kafulila ni cdm.., huna haya unatetea ujinga wa kiongozi kiasi hicho, kumbuka alichofanya Kafulila ni reaction iliyotokana na tusi la Werema, hivi unakumbuka nani aliyesema bungeni f***k u? alikuwa mbunge wa cdm au ccm? Hivi unakumbuka kuna aliyesema haongei na mbwa???! Utakuwa kipofu kwaajili ya mapenzi na ccm kwakuwa ukizama kwenye penzi hata chongo huitwa kengeza.
Amka wewe.. uchungu wako na mapenzi hamishia kwa nchi uone kama utatetea huo ujinga.
TAFRANI iliyojitokeza bungeni juzi kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali Frederick Werema kumuita Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila(NCCR Mageuzi) tumbili, naye kumjibu kwa kumuita mwizi imeingia katika hatua nyingine ambapo wawili hao wamekataa kusuluhishwa.