MT KILIMANJARO
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 4,215
- 762
wewe ni mbwiga kweli. mmaranguoriginal nina degree
Degree ya ofa za bia na nyama choma au zile za kudesa?
wewe ni mbwiga kweli. mmaranguoriginal nina degree
Sasa kati ya mimi na wewe nani ana mawazo mgando? Wewe unayesema kumuita binadamu mwenzio tumbili sawa au mimi ninayesema ni tusi? Tatizo lenu vijana wa Tanzania narudia tena kulisema ni mapenzi kwa ccm na si nchi.. kiasi kwamba hutaki kusikia wenye mapenzi na nchi hata unataka kutuaminisha Kafulila ni cdm.., huna haya unatetea ujinga wa kiongozi kiasi hicho, kumbuka alichofanya Kafulila ni reaction iliyotokana na tusi la Werema, hivi unakumbuka nani aliyesema bungeni f***k u? alikuwa mbunge wa cdm au ccm? Hivi unakumbuka kuna aliyesema haongei na mbwa???! Utakuwa kipofu kwaajili ya mapenzi na ccm kwakuwa ukizama kwenye penzi hata chongo huitwa kengeza.
Amka wewe.. uchungu wako na mapenzi hamishia kwa nchi uone kama utatetea huo ujinga.
degree ya ofa za bia na nyama choma au zile za kudesa?
wewe ni muhuru wa kisumundu mmezubazubaa tu.
Hvi wanaokupa offa za bia ni kina Priscus nini?
tatizo
lako hata hueleweki unasema nini we Poyoyo halafu usiharibu lugha za watu..,
"niliyem-Quate" ndo kitu gani, si utumie kuswahili tu kama ngeli za
watu hazipandi.. Bogus ni bogus tu
mkuu kombajr, viongozi wa ccm wanaoiba ni wachache na wanajulikana kwa majina sio wanaccm wote tu wezi wengine hata kumuibia mtu hatujui.tusihukumiwe kwa makosa ya watu wachache ndani ya chama. chadema pia kuna viongozi wanaiba na majina tunayo
Kwa hiyo issue ya ESCROW ndo imeishaachwa, the new focus ni hayo matusi sio? Hamna noma.
njoo hapa police mesi nikununulie shongaa
Lakini werema ni mwizi, atuambie kama hakupata mgao wa escrowsiyo kila aitwaye mwizi ni mwizi kweli.
wewe na hao mabwenyenye wako watakuharibu piaChadema wameshamuharibu kafulila kutoa lugha chafu bungeni. Alikuwa ana maadili sana huu muungano wa ukawa utawaharibu na wabunge wa cuf pia. Chadema wanabomoa maadili ya watanzania