Duduwasha
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 5,703
- 3,653
oi...Mimi Bado SijaoaWatathubu basi. . .
Kutongozana na kuflirt wamwachie nani?
oi...Mimi Bado SijaoaWatathubu basi. . .
Kutongozana na kuflirt wamwachie nani?
oi...! Utakuwa humridhishi Mumeo...Kwa wale wanawake wenye waume zao hapa Jf mchunge sana..umu kuna vijizi vya mabwana za watu,macho yao yako juu juu kuiba tu..
Sisi tuliopendwa tukapendeka,tuliotulia tukatulizana,tuliotunzwa tukatunzika tunaonewa wivu sana na vishankupe..
Wenye bahati zetu tuwe macho na vijizi vya waume za watu.
Deskmate hajambo kabisa, alienda kijijini kuvuna vitunguu ndio mana unaona kapotea, kule net hakuna ndugu yangu... Ila usijali atarejea siku sio nyingi....Nipo Sweety. Nipo sana tu. Habari ya deskmate?
Halafu mi nashangaa, mbona wewe ulipo jua ninasoma na deskmate uliniruhusu kuchonga pensil yake darasani, bora tu jiuoni arudi nyumbani? lolest!
Basi mfundishe Mrs Ma2mbo hiyo SELECTIVE GENEROSITY. lolDeskmate hajambo kabisa, alienda kijijini kuvuna vitunguu ndio mana unaona kapotea, kule net hakuna ndugu yangu... Ila usijali atarejea siku sio nyingi....
Mie nilikuruhusu wewe tu manake nakupenda ila kwa wengine NOOOO!
Lol!Una maana nitaibiwa nini?Mke?wako bize
wanarudi home baada ya kuibwa
Jichunge sana, utaibwa sasa hivi
Mmmh...mfunde mumeo akuone weye 2, acwe macho juu. .afu jiamin na kaz yako ma', wapangaj wackuhamishe mwenye nyumba
Lol!Una maana nitaibiwa nini?Mke?
Ama unamaanisha mimi nita "ibwa"lol! (kiswahili kigumu tafadhali mwenye lugha rahisi hapo tusaidiane)
@St Ivuga, naona unafanya kweli kumpa Lizzy likes kila posti yake, are sure you aint gonna get in trouble?Ama Mwali yuko open?lol
hehehehe Lizzy mie naanza hebu nambie hiyo signature iweje? FL is Married, married ,Married... no vacancy available or tatizo watu siku hizi hofu ya mungu imepotea Afrodenz wewe hebu sema hapo chini :biggrin:FL nimeolewa na nanihii sitaki kutongozwa :juggle:
Ha ha ha, hiyo "mpaka" ina maana gani?We Mushi unawangia mpaka LIKEs zangu? Stop it bana. . .let SI do what he promised!!
Lol!Una maana nitaibiwa nini?Mke?
Ama unamaanisha mimi nita "ibwa"lol! (kiswahili kigumu tafadhali mwenye lugha rahisi hapo tusaidiane)
@St Ivuga, naona unafanya kweli kumpa Lizzy likes kila posti yake, are sure you aint gonna get in trouble?Ama Mwali yuko open?lol
Ha ha ha, hiyo "mpaka" ina maana gani?
What else nimesha "wangia" zaidi ya like?