Mwali unapotea sana siku hizi, hebu ninong'oneze kidogo kama hujambo.Mrs Matumbo uko wapi? Mbona umepotea mwaya?
Sorry, nimekosea jina. I meant Mrs Ma2mbo...
Ni kweli hazitishi kihivyo hususan ukizingatia jinsi wana JF walivyotapakaa kila kona ya dunia.
!
Hhhm. . . kwahiyo nikae mbali na wenye tindi kali au wanaolindwa na wenye tindikali?Be careful of your surroundings and all....
Manake usije mwagiwa tindikali bure
Hahahaha. . . UNALO.
Chukua maujanja hayo usije ukaibiwa hata na mama ntilie.
Kwa wale wanawake wenye waume zao hapa Jf mchunge sana..umu kuna vijizi vya mabwana za watu,macho yao yako juu juu kuiba tu..
Sisi tuliopendwa tukapendeka,tuliotulia tukatulizana,tuliotunzwa tukatunzika tunaonewa wivu sana na vishankupe..
Wenye bahati zetu tuwe macho na vijizi vya waume za watu.
Duh!Mshapigana mibao tayari?
Kweli JF is more than a social network kwa mujibu wa Mwakalinga!
btw ni kweli wakongwe wa humu Chit Chat wanaume siwaoni kwenye hoja, whats happenin!?lol
Jaribu kusoma uelewe. . .Kwani mama ntilie hawana 'K'?.
Mngejua wanaume wanachotaka kwa wanawake hata msingejisumbua na mbwembwe zenu. Ndio maana ma-house girl kila kukicha wanawapiga bao.
Mada za aina zote zimeongezeka.... na za kudondokea zimeongezeka pia, so labda wanaleteana balance
Wewe nawe, mtu mzima hachungwi, ongezeni maujanja, mie tena mke wangu nimeshamwambia afuatilie Post za Lizzy aone jinsi mwanamkwe unavyotakiwa kuwa na lugha laini lakini yenye kuonyesha unajiamini. Nimemwambia kabisa mama watoto mie Lizzy nimemzimikia sana ila kwakuwa tumeshafunga ndoa na yeye (mke wangu) basi yeye anawajibu wa kujifunza kutoka kwenye post za Lizzy ili niache kumfikiria Lizzy na nimuone mke wangu kama Lizzy, ooooh, Lizzy wewe, utaniua mie! teh teh teh!
Hehehe! Kongosho umeona mbali.... Mie nipatie moja manake nimejitolea kumsaidia mrs ma2mbo kumwagia hao wezi wake...
hapo kwenye kudondoka
wamewezeshwa wakaweza lol
hahahahaha dah,MxNdo nataka nivione hivyo vinshankupe maana navisikiaga ila mimi nikisiki sing'olewi
Hahahahaha. . .kaaaazi kweli kweli!!
Lol, unavyonipenda najua utanipa la chuma tu, mie sina bifu na wewe kabisaaaa.....nilishasema na narudia tena ukijitoa jf nami najitoa nakufuata huko huko niwe naendelea kucheka kwa raha zangu.... Kongosho OYEEEEE!!!hivi kwanza
mie na bifi na wewe au la?
Sijui nikupe la plastic
ili uunguzwe japo kidigo
unajidai sana siku hizi
Jaribu kusoma uelewe. . .
Hapo sikua naongelea huko ulikofikiria. . nilikua naongelea MAPISHI.
Zamani thread za kudondokea kwa nadra
Mpaka QK afurahi! Hahahah
Siku njema kwa wote