Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,472
Wakufundwa wenyewe ni hawa wenye fikra za kurusha makombora kizani na kutembea na tindikali?Mbona kazi ipo.Unajua unaweza kuanzisha ki academy cha ufundaji wa akina mrs watarajiwa na ukatengeneza pesa sana....manake akina Bi. Hindu na Bi. Chau nao siku hizi wamekuwa ni wajasiriamali wa ufundaji na wanapata mshiko