Wenye waume JF..TAHADHARI.

Mrs ma2mbo

Member
Dec 27, 2011
49
23
Kwa wale wanawake wenye waume zao hapa Jf mchunge sana..umu kuna vijizi vya mabwana za watu,macho yao yako juu juu kuiba tu..
Sisi tuliopendwa tukapendeka,tuliotulia tukatulizana,tuliotunzwa tukatunzika tunaonewa wivu sana na vishankupe..
Wenye bahati zetu tuwe macho na vijizi vya waume za watu.
 
hahahaha uwiii vijizi vya jf duh!
ni kwamba mumeo kakuambia alitaka kuibwa uku jf au?
mumeo chumbani tu mbona uku jf akuu hatujui unless ututambulishe mapema teh.
 
Kaaaazi kweli kweli!!

Yale yale ya multipe IDs. . . mbona hukuanzisha hii thread na ID yako ya siku zote ili watu waamini unachosema? Au wewe ndio mwizi na unaemuabia kashajua(labda mume kakata hata mawasiliano na wewe kwa muda) sasa unamtafuta unaemuibia kijanja?
 
mara oooh ngoja niwaelekeze kupika na kupika kwenyewe hamjui...mara oooh sijui masagge.
Hakuna lolote kumendea tu waume za watu.
 
Back
Top Bottom