najiamini ndio mana nawapa ukweri mashostito.
Kweli mwaya, mie pia uniite nikusaidia kumdunda mangumi, wasione vyaelea ati!
Marahabaaaa GMbab shikamoo.
wewe ndio limekuganda..macho juu juu kwa vya wenzio.
ivi yule matumbo wa hapa hapa ndo kakwapuliwa tayari?
Ni yeye anajipaisha, manake anadai yeye handsome sasa ana-draw attention.
Mwe! HAPPY BIRTHDAY TO ME!
Hehehe! Hata ukichakachua methali haibiwi mtu hapa!...Usione vyaelea, vimefungwa maboya
Dah!..kumekucha....hofu imetanda JF....wanawake wa JF wapewa ONYO. wanaume wakaa kimya hawatoi tamko.:smash:
Utajuaje labda kwa uwezo wa roho mtakatifu?Some pipo bwana
Pretend to be virgins in a maternity ward, wonders shall never end.
Hahahaha. . . UNALO.
Chukua maujanja hayo usije ukaibiwa hata na mama ntilie.
Msinambie ile siku ya 'tindi kali' ndio leo
Duh