Wenye waume JF..TAHADHARI.

Is this serious kuwa kuna waizi wa waume za watu humu jf? How are they stolen? Mwanaume wako akiwa kahaba ataibwa tu! How cud u blame ur fellow women 4 ur man insanity? Wajueje ndo mumeo km ye mwenyewe hajitambui kuwa ni mumeo akajiheshimu? Its shameful to stand in public and claim smone is stealing ur man...that means ur not woman enough to him...change atitude...mipasho haitasaidia zaidi inampa kichwa mhusika kama kweli that mume, ndoa and theft vinaexist..!
 
najiamini ndio mana nawapa ukweri mashostito.

Haujiamini thats why unabwata ovyo. Ungejiamini unamtuliza bwanako gambani unawaacha uwaitao vishankupe wakimtafuta...seems u lack self esteem, confidence that why anahanya kwa keypad ati wasakanya wezi! Its so funny km ndoa ndo zinatreatiwa ivo! Unalo kwa kweli! Source.,urself!
 
Umaarufu wa majitaka hadi jf
Grit sinkaz indeed!

Hivi fomu zinapatikana wapi
Nataka kugombea ubunge jimbo la chit chat
Kyng'erst wewe utachukua fomu za jimbo gani?

Ni yeye anajipaisha, manake anadai yeye handsome sasa ana-draw attention.
 
Back
Top Bottom