Vikijitokeza tu nitonye nivifungulie uzi...Ndo nataka nivione hivyo vinshankupe maana navisikiaga ila mimi nikisiki sing'olewi
Taratibu jamani wadada.wewe ndio limekuganda..macho juu juu kwa vya wenzio.
wewe ndio limekuganda..macho juu juu kwa vya wenzio.
bora yako shostito,sisi wenye ndoa zetu umu Jf tunaingiliwa kweli.
Bado hajakwapuliwa ila kuna dalili za kutaka kukwapuliwa ndio mana mrs matumbo kashtuka!ivi yule matumbo wa hapa hapa ndo kakwapuliwa tayari?
Hahahaha jiamini mwanamke, unaogopeshwa hata na keyboard we vipi bana
Pole shostisto, pambana bana manake ni haki yako kuchunga mzigo wako....bora yako shostito,sisi wenye ndoa zetu umu Jf tunaingiliwa kweli.
Vikijitokeza tu nitonye nivifungulie uzi...
Bado hajakwapuliwa ila kuna dalili za kutaka kukwapuliwa ndio mana mrs matumbo kashtuka!
Hahaha! We mkare, kumbe umeona eeh?Naanza kuviona maana wanatoa mashambulizi mazito kwa mrs matumbo
Hahahaha jiamini mwanamke, unaogopeshwa hata na keyboard we vipi bana