Wenye waume JF..TAHADHARI.

mwanamke mipasho bibi wewe!na ntawapasha sana mashankupe wote.

Unapoteza nguvu zako tu shosti, unaweza kupiga makelele hapa kumbe wenzio wanabanjuana muda huu...
Hivi unapasha kwenye keyboard kweli hata huyo shankupe mwenyewe si anaacha tu kusoma huu uzi afu anaendeleza mashambulizi ya kimya kimya.... Pole mwaya...
 
asante mwaya!
 
Kaaaazi kweli kweli!!

Yale yale ya multipe IDs. . . mbona hukuanzisha hii thread na ID yako ya siku zote ili watu waamini unachosema? Au wewe ndio mwizi na unaemuabia kashajua(labda mume kakata hata mawasiliano na wewe kwa muda) sasa unamtafuta unaemuibia kijanja?

sorry @ Mrs ......

Lizzy,huyo bidada nadhani ana wivu.. Niulize kwa nini...
Unajua kuna watu wanaona nondo zinazomwagwa humu ni hevi kwao.. Hivyo wanakosa kujiamini...

Kukosa kujiamini ni tatizo kubwa lenye kuleta wivu na kuandaa scenario vichwani mwao zisizo na kichwa wala miguu...
 
Back
Top Bottom