Wenye waume JF..TAHADHARI.

Like like like

only they know the truth. I can just conjecture. Kwa hiyo inawezekana labda kuna vi beef nje ya jf ambavyo vinaletwa humu jf. Au inawezekana labda hivyo vi beef vimeanzia humu humu jf na watu hawawezi kuambiana yaliyo mioyoni mwao kwa id zao za siku zote na hivyo kuibuka na id mbadala na kuanza kurusha vijembe vya hapa na pale. Again, this is all conjecture.
 
Only they know the truth. I can just conjecture. Kwa hiyo inawezekana labda kuna vi beef nje ya JF ambavyo vinaletwa humu JF. Au inawezekana labda hivyo vi beef vimeanzia humu humu JF na watu hawawezi kuambiana yaliyo mioyoni mwao kwa ID zao za siku zote na hivyo kuibuka na ID mbadala na kuanza kurusha vijembe vya hapa na pale. Again, this is all conjecture.

Kama ni hivyo kazi kubwa sana ipo
 
Hii industry ya ndoa imekuwa pasua kichwa.
Hapa nimeshaona business opportunity

Helmet za tindikali kwa wanaoibiana.
Hehehe! Kongosho umeona mbali.... Mie nipatie moja manake nimejitolea kumsaidia mrs ma2mbo kumwagia hao wezi wake...
 
Watathubu basi. . . Kutongozana na kuflirt wamwachie nani?
hehehehe Lizzy mie naanza hebu nambie hiyo signature iweje? FL is Married, married ,Married... no vacancy available or tatizo watu siku hizi hofu ya mungu imepotea Afrodenz wewe hebu sema hapo chini :biggrin:FL nimeolewa na nanihii sitaki kutongozwa :juggle:
 
I reiterate, it is just conjecture in response to your question.

Do you think there is negative energy floating around?

Nasisitiza "kama ni hivyo"

I find the whole thing funny to tell you the truth
 
Heeeh hili nalo jipya! Mumeo ni nani kwanza? Isije kuwa huyu anayenisumbua sumbua kila siku..
 
Hahaha kwani si antics za mtandaoni hazitishi?

Ni kweli hazitishi kihivyo hususan ukizingatia jinsi wana JF walivyotapakaa kila kona ya dunia.

Kwa mfano, mimi niliyeko Ikungu nitishwe kumwagiwa tindikali na Gaijin aliyeko Osaka kisa mtu fidenge fidenge aliyeko Tirana...? Asilani abadani!
 
Back
Top Bottom