Hata mie nimeshangaa jamaa anatetea uovu bila aibu.Kama kawaida hukosi wa kuwasemea waarabu
Mkuu super market haihusiani na wenye kituo,ni wapangaji tu.Watajuta walahi, , maana hivi karibuni wamefungua supermarket yao pale nahisi nayo itadoda sanaa, nilikua sijui ni kwa nini muda mwingi hiki kituo hakina magari mengi yanayojaza mafuta, mashine ziko nyingiii, ila ni nadra sana ukute magari yamepangana kuweka mafuta pale, wadada wanasinzia muda wote maskini. Tamaa ni mbaya sana, sheli imefunguliwa hivi karibuni, lakini mwenye nacho anataka akifumba na kufumbua kiwe kimerudisha gharama zake zote na faida juu, kitu ambacho ni impossible.
Hata mie nimeshangaa jamaa anatetea uovu bila aibu.
Engen ndo mpango mzima kwa mantic hiyo
3. Huwezijua wanachanganya na vitu vingine vingi tu zaidi ya kerosene, hata maji wanaweka!
Mtoa mada umejitahidi kushawishi, sasa hivi hawana wateja wengi, ni gari moja ama mawili, wakati mwingine peupe.
Tofauti na zamani.
Ukitakakuweka ubora wa gari yako
Weka PUMA AMA ENG
M HATA MAMA AKICHUKUAGARI LISILO NAMAFTA NAMPA HELA ANILETEE NA RESIT KWEKEA PUMA AMA ENGN
KINATUCHUTUMALIZA NI BEI YA MKAA
UKIWEKA BK KUM TANO YAKIWAKA TA UBUNGO PUMA IKO MJIN ENGNE IKO MBEZ AMA MIKOCHEN UUAIFWATA TU CAMEL
Siku utaambiwa mke wako anashikishwa ukuta halafu utasema weka picha.
mkuu mimi ni mkazi wa tabata ni ni muhanga wa hiyo sheli. niliweka wese la 50 ambalo kwa kawaida huwa naendea town wiki nzima but nilivyoweka pale hakiyanani nilienda town mara 3 tu. ni wezi sana wale jamaa hawafai.
Kituo hiki cha mafuta kilichoko upande wa kulia kama unaelekea mjini pale Tabata Sanene ni hatari kwa magari maana wanachanganya sana mafuta ya taa na petrol na mbaya zaidi wanaiba sana mafuta pamoja na kuchakachua huko. Magari yanazimika, pump zinakufa.
Wateja walio wengi wameisha wajua na kwa sasa hawaweki tena mafuta kwenye kituo hicho. Kituo kina machine nyingi na uwanja mpana tena mzuri lakini unaweza kukuta gari moja tu tena nalo la watu walio wageni mitaa ile.
Shime epukeni hasara ndugu wananchi.
NB: Tafadhali Mod acha huu uzi ili kusudi wakazi wa Tabata wachukue tahadhari kabla hawajapata hasara ya magari yao. Ni wakati sasa kuwaadabisha wezi, wanyonyaji na wauaji wanaowaumiza wananchi kwa ajili ya kujipatia faida. Tunatoa tahadhari na kwa wezi wengine wa mafuta hatutasita kuwaanika mpaka watakapo acha tabia mbaya ya wizi na uuaji.
Camel oil sitaisahau! Ilishawahi kunilaza kibaha ile! Dah!