Wenye magari jihadhari na Camel-Oil Tabata Sanene

Wenye magari jihadhari na Camel-Oil Tabata Sanene

Ukitakakuweka ubora wa gari yako
Weka PUMA AMA ENG

M HATA MAMA AKICHUKUAGARI LISILO NAMAFTA NAMPA HELA ANILETEE NA RESIT KWEKEA PUMA AMA ENGN
KINATUCHUTUMALIZA NI BEI YA MKAA

UKIWEKA BK KUM TANO YAKIWAKA TA UBUNGO PUMA IKO MJIN ENGNE IKO MBEZ AMA MIKOCHEN UUAIFWATA TU CAMEL
 
Yah! Mi pia ni muhanga wa Camel Oil Tabata Sanene. Niliweka mafuta ingawa siku-note kama gauge ilipanda au lah ila nilivyoondoka tu, muungurumo wa gari ukabadilika. Gari ikawa inaunguruma muungumo mzito na ikawa nzito kuchanganya. Nikajua tu nimeshachakachuliwa mafuta. Sikurudi tena hadi leo.
 
Duuh, ina maana bulk procurement haifany kazi? Cz siku hizi mafuta yote no sawa, maana yanaletwa na mtu moja baada ya kushinda tender then huku ewurA wanafanya check up mote humo... Ukweli upi?
 
Majanga majanga majanga matupu.

Aisee kumbe bado hawajaacha hii tabia yao? Muda mrefu saana wamekuwa wakilalamikiwa. Na hawa Ewura sijui wako wapi? Kwanini hawaendi pale?

Kwa ujumla vituo vya Oil com na Camel ni majanga.
 
Dah mi naonaga hamna watu pale naweka peke yangu siku moja ikabidi niwaulize mbona niko peke yangu wakati pale Lake Oil foleni kubwa wale wadada wakasema eti ameshusha bei Tsh 100,kumbe nilikuwa napigwa mixed na Maji dah maskini sirudi tena!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Camel oil sitaisahau! Ilishawahi kunilaza kibaha ile! Dah!
 
Ukitakakuweka ubora wa gari yako
Weka PUMA AMA ENG

M HATA MAMA AKICHUKUAGARI LISILO NAMAFTA NAMPA HELA ANILETEE NA RESIT KWEKEA PUMA AMA ENGN
KINATUCHUTUMALIZA NI BEI YA MKAA

UKIWEKA BK KUM TANO YAKIWAKA TA UBUNGO PUMA IKO MJIN ENGNE IKO MBEZ AMA MIKOCHEN UUAIFWATA TU CAMEL

nakubalina na wewe ,kuu
 
Nashukuru kusikia hilo

Hii Camel Oil ni ya nani lakini? Hiki kiburi anakipata wapi?
Nependekeza vitengo vyote visivyo na impact kwenye maisha ya wananchi kam vle EWURA, PCCB viangaliwe upya au vifutwe kabisa kwenye hii katiba mpya. Havina lolote zaidi ya kula kodi zetu.
 
Oil men huwa wana mshiko wa kufa mtu so tegemea serikali yako imeshawekwa mfukoni
 
Dah nimeweka jana ya 30 duu!! Eeeh Mungu niepushie hlo balaa
 
Camel oil zote ni wahuni aiseem,niliwahi kuweka mafuta kwenye kituo chao cha mbezi chini karibu na rainbow bar,wakanipiga panga bwana,
 
Watajuta walahi, , maana hivi karibuni wamefungua supermarket yao pale nahisi nayo itadoda sanaa, nilikua sijui ni kwa nini muda mwingi hiki kituo hakina magari mengi yanayojaza mafuta, mashine ziko nyingiii, ila ni nadra sana ukute magari yamepangana kuweka mafuta pale, wadada wanasinzia muda wote maskini. Tamaa ni mbaya sana, sheli imefunguliwa hivi karibuni, lakini mwenye nacho anataka akifumba na kufumbua kiwe kimerudisha gharama zake zote na faida juu, kitu ambacho ni impossible.
 
Back
Top Bottom