Wenye magari jihadhari na Camel-Oil Tabata Sanene

Wenye magari jihadhari na Camel-Oil Tabata Sanene

Ewura mna share Camel Oil? Sijaona ukaguzi wa repoti yoyote pamoja na vilio vyote hivi. Hebu fanyeni kazi yenu bana.

Hawa Ewura naona wameshindwa kazi. Wao wanachoweza ni kusimamia mambo madogo sana kama kutokwenda na dumu la uhai kituo cha mafuta kwa ajili ya kuwekea mafuta. Mxxii
 
Mkurugenzi au Meneja wa Camel Oil Tabata aombe msamaha rasmi kwa wateja wake na arekebishe uozo uliko mahali pale ikiwa ni pamoja na kufukuza wafanyakazi wote wezi ili kuleta imani kwa wateja

Vinginenyo biashara yake inadoda...imagine asubuhi au jioni kwenye high demand unakuta hakuna hata gari moja linaloweka mafuta!!
 
Ukitakakuweka ubora wa gari yako
Weka PUMA AMA ENG

M HATA MAMA AKICHUKUAGARI LISILO NAMAFTA NAMPA HELA ANILETEE NA RESIT KWEKEA PUMA AMA ENGN
KINATUCHUTUMALIZA NI BEI YA MKAA

UKIWEKA BK KUM TANO YAKIWAKA TA UBUNGO PUMA IKO MJIN ENGNE IKO MBEZ AMA MIKOCHEN UUAIFWATA TU CAMEL

nakukaa kote jf tangu 2007 bado tu hujajua kuandika na kusoma...tusichoshane!!embu huko
 
Kituo hiki cha mafuta kilichoko upande wa kulia kama unaelekea mjini pale Tabata Sanene ni hatari kwa magari maana wanachanganya sana mafuta ya taa na petrol na mbaya zaidi wanaiba sana mafuta pamoja na kuchakachua huko. Magari yanazimika, pump zinakufa.

Wateja walio wengi wameisha wajua na kwa sasa hawaweki tena mafuta kwenye kituo hicho. Kituo kina machine nyingi na uwanja mpana tena mzuri lakini unaweza kukuta gari moja tu tena nalo la watu walio wageni mitaa ile.

Shime epukeni hasara ndugu wananchi.

NB: Tafadhali Mod acha huu uzi ili kusudi wakazi wa Tabata wachukue tahadhari kabla hawajapata hasara ya magari yao. Ni wakati sasa kuwaadabisha wezi, wanyonyaji na wauaji wanaowaumiza wananchi kwa ajili ya kujipatia faida. Tunatoa tahadhari na kwa wezi wengine wa mafuta hatutasita kuwaanika mpaka watakapo acha tabia mbaya ya wizi na uuaji.

Ni kweli ni wachakachuaji wakubwa. Hata kituo chao kilichopo Kibamba, Njia Panda Shule, wanachakachua sana. Mchungaji wa kanisa langu aliweka mafuta hapo na gari ilizima palepale kituoni. Hali ni mbaya. EWURA ifuatilie mchezo huu mchafu.
 
Sisi tnaendelea kulia na EWURA chombo cha walipa kodi!! La sivo tunawasulubu hawa wezi kwa kuwasema hadharani na kuvikimbia vituo vyao mpaka watakapotia adabu.

Mheshimuni Mungu enyi wachuuzi wa mafuta!!
 
Back
Top Bottom