Marcostilone
JF-Expert Member
- Jun 25, 2023
- 6,751
- 16,823
IVF haibadili mfumo wa mwili wa mtu wala kubadili jinsia au muundo wa kibaiolojia, naona hata hauna uelewa wowote kuhusu hiyo technology.Kwahiyo na wewe siku wakipandiiza uterus kwenye mfumo wako wa kiume ilimradi upate mtoto utaona ni sawa tu!?
"Two wrongs don't make a right" the fact that its a new technology doesnot make it necessarily right.
Tujadili IVF kwa uhalisia wake wa kitabibu, siyo kwa mifano ya kubuni, otherwise nitakuona haujui hata ni nini unakipinga hapa.