Wema Sepeta acha usanii: IVF ni nini?

Wema Sepeta acha usanii: IVF ni nini?

Alipokuj Poland ile nlikuwa hko kna mwanang anaitw adl ahh alimshk mkono kiulaini
Wkt huo wema mmbichi haswa 😄

Ova
Aiseee alikuwa hana noma kumbe ,alikuwa anabless watu fresh tu ,basi ukijumlisha na ambao hawana majina basi anaweza akajaza EITCHER zile za Gogolamboto - Msasani au Kariakoo - Tegeta Nyuki au Mbagala - Kawe.
 
Kilichobaki ni mimi nije kukupa mimba wewe uzae uache kisirani kwa watu
 
Ukisikia kukaza fuvu ndio kama hivi! Huyo mtoto hana tofauti na watoto unaowajua wewee!
 
IVF (In Vitro Fertilization) ni njia ya kitabibu ya kusaidia kupata mtoto kwa kurutubisha yai na mbegu za kiume nje ya mwili wa mwanamke, katika maabara, kisha kiinitete (embryo) kinachopatikana hupandikizwa kwenye mfuko wa uzazi.
View attachment 3607139
Hapo umeongelea vitu viwili kwapamoja. Kupandikiza embryo kwa mwanamke ambaye sie mama mtoa yai inaitwa Surrogation au surrogacy. Mwanamke anayebeba ujauzito kwa niaba ya mwenzake anaitwa Surrogate mother.

So kama wema alibeba ujauzito wake mwenyewe then huwezi mwita surrogate mother ingawa alipandikizwa ujauzito kupitia IVF system.
 
Back
Top Bottom