shibela
JF-Expert Member
- Jul 3, 2018
- 3,794
- 13,474
Bao ni bao Tu!Ko wozu kafunga bao la mkonoš
Bao ni bao Tu!Ko wozu kafunga bao la mkonoš
Watu walikua washaandika wema ni mgumba, wamesahau Mungu sio babu yao.Bao ni bao Tu!
Hebu elezea hii ethical implications za hiyo IVF kiafrika,kidini na ki Mila ili tujifunze kituTatizo wabongo IQ ndogo sana hivi unafahama ethical implications za IVF kwenye jamii hasa za Kiafrika au unabwatuka tu "chawa la mama".
Binafsi nataka kujua hili , kwann wakataze ?Dini za asili zinakataza pia
Unaweza kukuta hana hata hicho kizazi cha kupandikiziwa, hvy anaona Wivu alitaka wema abaki mgumba kama yeye šKapandikize na wewe mkuuš¤£
Watu wenye IQ kubwa wapo kwa ajili ya ugunduziTatizo wabongo IQ ndogo sana hivi unafahama ethical implications za IVF kwenye jamii hasa za Kiafrika au unabwatuka tu "chawa la mama".
Sisi wambea ndo tulikua tunafahamu na ushahidi wa picha juu. But walijaribu kuifanya siri/ privateHivi tukio la Ujauzito wake waliwahi kuliweka wazi kabla ya taarifa hii ya Maternity ?
Binafsi nimeona tu hii taarifa ya sasa ila sikuwahi kuona taarifa zozote kipindi cha Ujauzito kama ilivyo kwa Celebrities wengine ambao huwa wanatutangazia ujauzito wao
Nawashangaa wanaoforce kuonesha Wema kafanya usanii kwenye mimba yake.Sisi wambea ndo tulikua tunafahamu na ushahidi wa picha juu. But walijaribu kuifanya siri/ private
Hizo dini zilimsaidiaje Wema kuhusu hitaji lake la kupata mtoto kwa miaka yote hiyo?Sio haiwezekani tu mila, desturi na dini zimekataza, athari zake kwa mtoto zitakuwa kubwa mbeleni huko
Hiyo ni sayansi ya tiba, nionyeshe ni wapi dini inapingana na masuala ya tiba kwa namna yoyote ile.Sio mimba hiyo, Dini, mila na desturi zinakataza
Jitafakari mzeeAkili huna ww
Tayar nmeshajitafakari mkuuJitafakari mzee