Wema Sepeta acha usanii: IVF ni nini?

Wema Sepeta acha usanii: IVF ni nini?

Hiyo ni sayansi ya tiba, nionyeshe ni wapi dini inapingana na masuala ya tiba kwa namna yoyote ile.
Tofauti ya hiyo na ushoga ni nini hasa!? Ethics za utungaji mimba zinasemaje!?
 
Amtafute Jamaa amuombe dyudyu, amwagiwe Ndani ili apate mimba labla wivu utamuisha
Ndo maana mnatifuliwa mitalo sana kama mnaendekeza upuuzi wa aina hii kwenye jamii.

Useless fool
 
Tofauti ya hiyo na ushoga ni nini hasa!? Ethics za utungaji mimba zinasemaje!?
Mimba ni mimba tu na mtoto ni mtoto

Jamii za watu wajinga kama nyie mnaomini mimba inapatikana kwa sex tu ni jamii duni sana
 
Watu wengi wanaopitia changamoto za kupata mtoto huwa wanasaidiwa na hiyo technology.

Punguza kuwa na wivu na maisha ya watu, as long as mtoto anayepatikana ana DNA za wazazi wake, ni jambo la kushukuru Mungu.
Kwahiyo na wewe siku wakipandiiza uterus kwenye mfumo wako wa kiume ilimradi upate mtoto utaona ni sawa tu!?

"Two wrongs don't make a right" the fact that its a new technology doesnot make it necessarily right.
 
We nawe acha wivu ulitaka whozu akupe wewe mimba ndio ionekane mimba?
Ile ni mimba au machine!? Au sikuizi mimba za bluetooth zimekuwa mimba!? Kizazi cha hovyo kabisa.

You know nothing about ethics. Kuna mambo mengi yanapingwa sana kwa sasa duniani kama ushoga, IVF n.k implications zake kwenye social ethics ni kubwa sana in the future. Ila kwasababu baadhi yenu akili zenu ni za kuvukia barabara, it's okay
 
Back
Top Bottom