Wema Sepeta acha usanii: IVF ni nini?

Wema Sepeta acha usanii: IVF ni nini?

IVF (In Vitro Fertilization) ni njia ya kitabibu ya kusaidia kupata mtoto kwa kurutubisha yai na mbegu za kiume nje ya mwili wa mwanamke, katika maabara, kisha kiinitete (embryo) kinachopatikana hupandikizwa kwenye mfuko wa uzazi.
View attachment 3607139
Acheni wivu hiyo njia haiwezekani kwa 3rd world country
 
Sio mimba hiyo, Dini, mila na desturi zinakataza
Dini gani zinakataza. Maana yake kama ndivyo basi hata kuongezewa damu ni kosa, kuwekewa pacemaker ni kosa , kuwekewa mguu bandia ni kosa ,kuwekewa jicho la bandia ni kosa? Kuzaa kwa upasuaji ni kosa, kubadilishiwa figo ni kosa yaani kula kila nje ya asili ya mwili ni kosa sio!? Acheni kukalilishwa vibaya hizo imani mlizo letewa bila hata kujua malengo ya waliyo waletea,
 
Uchawi unawasumbua! Mtu kajua ni mjamzito mimba ikiwa na wiki 20 sasa kapandikiza saa ngapi?

Miaka yote hiyo ashindwe kupandikiza aje kufanya leo?

Watu hawafurahi kuona mafanikio ya wengine.
Ni mchakato aio jambo dogo kama unavofikiria.

Hivi kati ya wachawi kumi bora Tanzania, Wema atakosa kwenye top five!?
 
Back
Top Bottom