Wema Sepeta acha usanii: IVF ni nini?

Wema Sepeta acha usanii: IVF ni nini?

Ila wabongo chuki zitawaua kabla ya siku zao, mtoto wake njia alizotumia ninyi zinawahusu Nini? Mbona Kila mtu akideal na mambo yake inakuwa poa tu
 
Wabongo ni washamba sana tu, mbona IVF huku mamtoni ndio habari ya mjini na watu wapo happy tu. Bongo utasema IVF ni kitu cha ajabu na hakifai kufanyika. Mamtoni hata kuadopt watoto kama mwanamke hazai, ni kitu cha kawaida sana. Ooops!! nilisahau bongoland ni 3rd world country, watu wana njaa kila kitu wanabeba bango. Hongera zake bi dada.
 
Kafanya usanii gani sasa?

Kwani mtoto wa IVF sio mtoto mwenye DNA za wazazi?
Maendeleo jamani, zamani sisi wakina baba pekee ndiyo tulikuwa tunaitwa wazazi japo hatuzai ila tunaweka mbegu tu sehemu fulani. Sasa hivi wote mnaweka mbegu sehemu mtoto anapatikana wote mnaitwa wazazi uchwara.
 
naamini Mungu ni wa wote,kuna watu waliflash mpaka sita lakini wakabeba mimba vizuri kuna wengine waliolewa bikira na hawakujaliwa kupata watoto。
Mi napongeza kwa njia yoyote iliyotumika kupata mtoto iwe kawaida,iwe IVF iwe surrogacy
 
Tuache kudiscuss vitu vidogo ,Wema kupata mtoto si jambo la ajabu kwasababu ni mwanamke ,tumeona Janet Jackson amepata mtoto akiwa na 50+ ndiyo iwe ajabu kwa Wema ambaye yupo below 40?
 
Tuache kudiscuss vitu vidogo ,Wema kupata mtoto si jambo la ajabu kwasababu ni mwanamke ,tumeona Janet Jackson amepata mtoto akiwa na 50+ ndiyo iwe ajabu kwa Wema ambaye yupo below 40?
Duh ok..
Anyway enzi zake ukimtokea
Hajuwi kukukatilia anakutunuku tu 😄

Ova
 
Duh ok..
Anyway enzi zake ukimtokea
Hajuwi kukukatilia anakutunuku tu 😄

Ova
Hahaha alikuwa MLEZI WA WANA.

kweli enzi zile alikuwa na Body counts za kutosha kuanzia Jumbe ,chaz baba,Mr blue ,Kanumba ,TID ,Idris,Clemence,PCK n.k
 
Hahaha alikuwa MLEZI WA WANA.

kweli enzi zile alikuwa na Body counts za kutosha kuanzia Jumbe ,chaz baba,Mr blue ,Kanumba ,TID ,Idris,Clemence,PCK n.k
Alipokuj Poland ile nlikuwa hko kna mwanang anaitw adl ahh alimshk mkono kiulaini
Wkt huo wema mmbichi haswa 😄

Ova
 
Back
Top Bottom