Wema Sepeta acha usanii: IVF ni nini?

Wema Sepeta acha usanii: IVF ni nini?

Uchawi unawasumbua! Mtu kajua ni mjamzito mimba ikiwa na wiki 20 sasa kapandikiza saa ngapi?

Miaka yote hiyo ashindwe kupandikiza aje kufanya leo?

Watu hawafurahi kuona mafanikio ya wengine.
Hivi tukio la Ujauzito wake waliwahi kuliweka wazi kabla ya taarifa hii ya Maternity ?

Binafsi nimeona tu hii taarifa ya sasa ila sikuwahi kuona taarifa zozote kipindi cha Ujauzito kama ilivyo kwa Celebrities wengine ambao huwa wanatutangazia ujauzito wao
 
Zilikuwepo taarifa za ujauzito wake ila alifanya siri.
 
Kwan kinawauma nn nyie waja muachen dada wa watu naye afurahie kuitwa mama
 
Back
Top Bottom