Wengine wameingia menopause ila wanamuonea wivu wema.Hii taarifa ya Wema kupata mtoto imewaumiza wengi sana.
Wengine wameingia menopause ila wanamuonea wivu wema.Hii taarifa ya Wema kupata mtoto imewaumiza wengi sana.
ebu ficha aibu yako hivi unajua maovyo ovyo ya mimba wewe ikiwa changa yani amekaa miezi mitano ajui kama ana mimbaUchawi unawasumbua! Mtu kajua ni mjamzito mimba ikiwa na wiki 20 sasa kapandikiza saa ngapi?
Miaka yote hiyo ashindwe kupandikiza aje kufanya leo?
Watu hawafurahi kuona mafanikio ya wengine.
Kumbe mleta post ni mwanamke!Wanawake hatupendani kabisa.
Akiwemo mtoa maada 😀Hii taarifa ya Wema kupata mtoto imewaumiza wengi sana.
Get well soon dear!Hamna kitu mule
Sio kweliMpende mwanamke mwenzako
Ni Futuhi20 weeks? like seriously?
Wema ni mchawi kama wachawi wengine wa taifa.Kwani hapo tatizo nini jamani. Mbona Mzee Mengi na mrembo Jackie walipata mtoto kwa njia hio. Na watoto wanapo wanaishi vizuri tu. I doubt hata mjane wa kanumba alipata wanae kwa njia hio napo sio dhambi
Dini za asili zinakataza piaWalio kuletea dini na kukwambia imetoka kwa mungu ndio hao walio leta technology ya IVF kwa hiyo hapo ni GG
Sidhani kama ni kweliAkiwemo mtoa maada 😀
Kuna watu hawana aibu!
Shida mchawi yuleKwan kinawauma nn nyie waja muachen dada wa watu naye afurahie kuitwa mama
Aache usanii hamna mimba pale katuzalia roboti la maabaraunataka kusemaje
Tatizo wabongo IQ ndogo sana hivi unafahama ethical implications za IVF kwenye jamii hasa za Kiafrika au unabwatuka tu "chawa la mama".Kumbe mleta post ni mwanamke!
Nilitaka kushangaa mwanaume alete habari hizo lakini hata hivo tuna jukumu zito sana lakulea vijana wetu wa kiume kuna mtihani mkubwa sana.
Hii bora asingesema. Hapa kaharibu ladhaW
ebu ficha aibu yako hivi unajua maovyo ovyo ya mimba wewe ikiwa changa yani amekaa miezi mitano ajui kama ana mimba
Akili huna wwKwa mujibu wa Dini, mila na desturi sio mtoto huyo ni machine tu
Mbona hii case inawakuta baadhi ya wanawake!W
ebu ficha aibu yako hivi unajua maovyo ovyo ya mimba wewe ikiwa changa yani amekaa miezi mitano ajui kama ana mimba