Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 33,525
- 95,982
Huyo msabato atapanic kumuwekea kitimoto hapoš
Huyo msabato atapanic kumuwekea kitimoto hapoš
Niliwahi onjeshwa bapa nikaambiwa halisumbui kilichonikuta....naulizia gari yangu iko wapi ilihali sikuwa nayo š
Nipo Seran, vurugu tu maisha...ndo natype na wewe hapa wengine hawaoni š..Mhola! Umepotea sana mkuu kwema?
Usiwanue sana ili tule twenti twenti...akikaa vibaya thate...akilalama sana anarudishwa kwenye twente na kamhuri kale kidogo..jioni bapa liko wapi šHiyo hata humu ndani ukiwauliza hawajui mpaka waende kumuuliza AIš
Maisha yana purukushani usisahau kujipa muda wako, kwanini hawaoni?Nipo Seran, vurugu tu maisha...ndo natype na wewe hapa wengine hawaoni š..
Na pilipili anaongeza šIla kwa siri huwa anagonga kimyakimyaššæāāššæššæ
Namimi simuamini huyušIla kwa siri huwa anagonga kimyakimyaššæāāššæššæ
HIyo hawaoni ni jokes š¤£š¤£Maisha yana purukushani usisahau kujipa muda wako, kwanini hawaoni?
Hahahah unajaribu uone nini kitatokeašHIyo hawaoni ni jokes š¤£š¤£
NATINGISHA MEZA bana kidogo š
Kwenye hii kumbi ukiangalia vyema huwezi kumkosa doumbia
Kumbe master kabisa! Ngoja ajee..Na hupenda kuanza na kongolo lakeš¤£