Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 374,228
- 866,556
Muda wa bata una tabia ya kukimbia sana🔥❗🙆🏿♂, alafu Jumatatu inawahi kufika kama ilikuwa inavizia kona.
Kile kipindi cha kuanza kuwaza alarm ya asubuhi,
nguo za kuvaa,
na foleni au majukumu ya kazini na chuo ndio hiki hapa😭.
Ile furaha ya wikendi inayeyuka ghafla!😂 🙆🏿♂️❗🔥