Wedding Anniversary

Wedding Anniversary

makongratulesheni kibao from nipeukweli

na ahsante kwa kuonesha kuwa hata katika hizi zama ngumu, ndoa kudumu kwa kiasi hiki na zaidi inawezekana

...God,Love n Commitment 😛oa
 
jamani hongera sana mpendwa kumpata mtu ambaye mwapendana kiukweli ni jambo la kumshukuru Mungukwani wengine hawaipati au wanaishiwa kuumizwa:cheer2::amen:mungu adumishe upendo kwenu ,amani na busara na kuwalinda na mabya/wabaya wote
 
Kweli mdogo wangu @FP!Ila mbona hujanmbia tunasherehekaje? Au nyie mliamua makusudi kuaihirisha siku kuu ya jana hadi leo?
leo ni kwa wa2 tu, unaweza kujiunga na wengine waliojitolea kuwa mababy sitter wakiongozwa na mlongo wangu snowhite na pacha wake SnowBall kuja kuchukua watoto ili wasitudistabu
 
Last edited by a moderator:
asante, najua na pia kwa msaada wa my wii mwenyewe, lol!

Mimi tena wifi? Wala usiulize lol......ntahakikisha ndoa inakuwa ya amani, furaha, upendo na mibaraka ya kufa mtu........katika vyote hivyo naanza kwa kumtanguliza Mungu......hapo si unaona ndoa itakavyodumu eeh?
 
Hoping that the love u shared years ago
Is still as strong today as it was
then Bringing u much joy , love
and happiness To celebrate again.

FPSpecial...jpg
 
This is true and fair, no need for you to end up dispair
There is an extra mile, yet with a big smile
Another song to sing , of undying love brought by "loving dove"

You are a good player, and northing but prayer
May HE make you cling and cleave in His ceaseless end, that you should by any means depend
Stay tuned in HIS spiritual realms, with all true dreams.

I learned this from my "other half's" love, to her I remain, with no stain
Make your "other half", happy, to be the happiest man/woman on earth does cost
But it is costless to those are careless, Ain't you caring woman?
I am stainless and painless, hence my conjugal bliss.

Live longer my friend FP....befriend Jesus, befriend your husband, befriend other friends
Live longer my friend FP....cleave love and score up to fourscore and half
Onescore means 20yrs, make as many scores as you want, but mine to you are only reded above
Hence the total becomes 95.

My family and I wish you a well done job, of keeping the promise...but, but in order to go that extra mile of life,
Follow my piece of advise, which comes from the dear heart of Thando (my wife) who make me to be Thanda.

She once said to me;

Dad,

You need PEOPLE to live with
You need POWER to live upon
You need PRINCIPLES to live at
You neen PURPOSES to live out
You need PLANS to live on

With Every Blessing from our loving old but precious table, which always loved by our loving sons Hanan and Shaddai, and for the respect of this little queen of ours, Nipha.

And by our own words and signature, Thando and Thanda.
 
Back
Top Bottom