Wedding Anniversary

Nipo tu mamiii, sometimes majukumu yakizidi, kuingia JF inakuwa tabu kidogo, mpe hi shem wetu binafsi nampongeza kwa kuwa baba wa familia mwenye hekima na busara

Amina na asante sana my dear ram.
sijakuona siku nyingi, missed u. hope upo poa
 
Last edited by a moderator:
Ndugu zangu wapendwa, leo tarehe 9/10 ni kumbukumbu ya agano langu la ndoa kati yangu na mpenzi wangu miaka 13 iliyopita.

Namshukuru sana Mungu wangu kwa kunipa huyu rafiki yangu kuwa mwenzangu. Ni jambo ambalo sijawahi kulijutia katika miaka yote 13 niliyoishi naye. Nazidi kumwomba Mungu tuzidishe upendo katika haya maisha tuliyoyachagua.

Nawaomba pia rafiki zangu wenye mapenzi mema mzidi kutuombea maisha yenye Upendo, Baraka na Neema.

Ingawa nimechelewa naomba kukupongeza, Mungu akujalie kwa kadiri ya matakwa yako!!
 
wow!! congrats FP, may GOD bless your marriage and let you enjoy it till the end.big up pia kwa anniversary hiyo not everyone is blessed with that!!! am just praying that i will also be blessed with a grace of living marriage life with someone special someday.
upo Yegomasika hujachelewa
 
Back
Top Bottom