Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
maandalizi yanaendelea, mtafute bwana harusi mtarajiwa kwa maelezo zaidikwa hiyo maandalizi yetu kama kawa
Asante sana mpalu,Hongera sana FP....maana ndoa ni zawadi...mwenyezi Mungu awazidishie baraka katika ndoa yenu..na kwa wale makapera wenzangu muhimu kujipanga na kujiandaa kabla ya kuingia katika ndoa miaka 13 si mchezo
Amina The Finest, Mungu ni mwema, atakujalia mema yote.Hongera Sana FP Mungu akuzidishie amani baraka na upendo tele kwa familia yako pia miaka hii 13 itakuwa chachu na kuwa mfano kwetu wengine ambao Mungu akitujalia nasi tutaingia kwenye maisha ya ndoa. Homgera Sana
Ndugu zangu wapendwa, leo tarehe 9/10 ni kumbukumbu ya agano langu la ndoa kati yangu na mpenzi wangu miaka 13 iliyopita.
Namshukuru sana Mungu wangu kwa kunipa huyu rafiki yangu kuwa mwenzangu. Ni jambo ambalo sijawahi kulijutia katika miaka yote 13 niliyoishi naye. Nazidi kumwomba Mungu tuzidishe upendo katika haya maisha tuliyoyachagua.
Nawaomba pia rafiki zangu wenye mapenzi mema mzidi kutuombea maisha yenye Upendo, Baraka na Neema.
Amina neggirl, na asante kwa baraka.hongera sana FP, Mungu awajalie miaka mingi zaidi ya furaha na amani ktk ndoa yenu. Share nasi chochote chema kilichochangia kufikia miaka hyo, sio michache ni mingi sana. Mungu Awabariki
That's the spirit
hakuna shidamaandalizi yanaendelea, mtafute bwana harusi mtarajiwa kwa maelezo zaidi
Amen and thanx Lukelo FirstCongratulation FP for sweeter and bitter you and you couple have experience.
May GOD my LORD bless you forever and always.
Umeona eeh!kweli nimeamini ...Don't wait for the Perfect Moment,
Take the Moment and make it Perfect