Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
- Thread starter
- #141
asante my dear.......my dear, upo pande zipi?? pande zile au zile nyingine na wakwe zangu?? salamu zimefika nitakusalia sala yangu, hiyo ndiyo haswa zawadi yangu kwenu!
mwenzangu, zile ambazo wakwezo hawapo, kwi kwi kwiiiiiii.
Asante kwa zawadi ya wakwe warembo............... naamini nao wataishi kwa Upendo na amani kama wazazi wao