Wedding Anniversary

Wedding Anniversary

lol! haya bana naona umeshanipa wadhifa ambao siustahili 🙂🙂...Acha tumuunge FP mkono ili afurahie siku yake kubwa na tukufu.
asante sana kwa kuniunga mkono, ni kweli nafurahi sana kuona nina watu wanaonitakia mema kiasi hiki, nafarijika mno yaani. nawapenda wwwwwwwoooooooooooooooooooottttttttttttttttttteeeeeeeeeeeeeee ambao mnanifanya nijisikie napendwa, Mubarikiwe sana
 
Babu nilikuona hapa uwanjani muda mrefu sana, nikawa nasubiri kwa hamu mambo yako. asante sana babu.
Sidhani kama kuna kapo hapa inaweze kushuhudia wamekaa miaka mitatu wakiwa na njia tambarare............. inawezekana, mimi sijui. hivyo hivyo kwetu, miaka 13 ni michache sana, lakini kwa kuishi na mtu mwingine, hata kama ni mtoto wako au mama yako ni mingi sana kutokea kusiwe na ups and downs. Kwa msaada wa Mungu kila kitu kinawezekana babu

Hivi kumbe na wewe ni lawyer enhhhhh??

Mie nilitegemea udondoshe kama bulltes 10 hivi kuelezea kile ulichokiona toka day zero halafu unasepa?

Haya dada yangu @FP, nimekuelewa na ishia hapo usiwatishe watoto!

Babu DC!!
 
ha haaaaaaaaaaaaa, utu uzima dawa babu yangu weee, najua watu wazima tunaelewana tukisema hivi, lol!
 
May the good Lord see and bless you,
On your anniversary day.
May He always be your companion,
And guide you on your way.
May your bonds of marriage strengthen,
Holding strong amidst all fears.
And may our friendship stay untarnished,
Through the wearing of the years.
****love you FP and family****
 
😛oa...Enjoy FP

asante sana kwa kuniunga mkono, ni kweli nafurahi sana kuona nina watu wanaonitakia mema kiasi hiki, nafarijika mno yaani. nawapenda wwwwwwwoooooooooooooooooooottttttttttttttttttteeeeeeeeeeeeeee ambao mnanifanya nijisikie napendwa, Mubarikiwe sana
 
Nimechelewa kidogo kuiona hii.....Happy Birthday. Yako ni tarehe 9.10, na yangu ni tarehe 10.9
May The One Who Is The Way to Eternal make you stand confidently before drastic and happiest women on earth.
 
May the good Lord see and bless you,
On your anniversary day.
May He always be your companion,
And guide you on your way.
May your bonds of marriage strengthen,
Holding strong amidst all fears.
And may our friendship stay untarnished,
Through the wearing of the years.
****love you FP and family****
Amen FirstLady1 (aka mama mchungaji). kwa kweli nakufagiliaga sana kwa maombi. Thanx alot, na iwe kama ulivyoomba
 
Last edited by a moderator:
Nimechelewa kidogo kuiona hii.....Happy Birthday. Yako ni tarehe 9.10, na yangu ni tarehe 10.9
May The One Who Is The Way to Eternal make you stand confidently before drastic and happiest women on earth.
Amen Thanda..... wala hujachelewa my dear
ila hii siyo birthday ni wedding anniversary. ila mwezi huu ni wangu, birthday yangu ni wiki ijayo, lol!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom