mie tena ngoja nikupe profile yangu kidogovipi na wewe umeshaiingia kwenye taasisi kama ya dada FP
hongera kwa familiamie tena ngoja nikupe profile yangu kidogo
uchumba miaka 9
ndoa miaka 9
watoto wawili miaka 14 na 7(wote wa kike warembo kama mama yao hapa)
mie ndo wife,yes uchumba miaka 9 kwa hubby huyu huyuhongera kwa familia
uchumba miaka 9 kwa huyo wife au zaidi
Amen.....God be with u and ur hubby!
Amen my dear, asante sana rafikihongera mwaya @FP, MUNGU Akujalie maisha marefu yenye baraka. mpate wajukuu, vitukuu na vilembwe.
mwisho mtegemee sana Mungu ndiye mlinzi wa ndoa yako tangu day one mpaka leo. Amen!
FP wapi PAPAA TANMO
teh teh...mwanakamati mbona sina taarifaMkuu niko kwenye Kamati ya maandalizi ya Sherehe,, bize kidogo....