Website ya IKULU na miradi ya COMPUTER ya Serikali

Website ya IKULU na miradi ya COMPUTER ya Serikali

hivi what is the point ya kumhamisha Sefue kwenda USA, na kumteua Kalaghe kwenda Canada? kwanini wasifanye appointment moja tu ya Kalaghe kwenda USA? Mimi naona Taifa limeingia gharama zisizo za lazima za kumhamisha Sefue toka Ottawa kwenda Washington-DC.
 
Jokakuu,
Hapana mkuu hapa kwetu tunamhitaji Karaghe na ingekuwa vizuri sana kama tungempata Sisco ama Aziz!...
Mchukueni Sefue atakufaeni zaidi....wameona mbali!
 
Mkandara,
Wameona mbali? Na Sisco si ni kijana wa mjini? Huyo kwake mapati yasingeisha.
 
Eeeh bwana wee!
Tunamtaka Sisco maanake ni mtu anayeweza kujichanganya na watu. Hizo party ndio tamu ya Ubalozi kama alivyokuwa Abass Sykes kule Italy!..
Haihitaji kumwogopa balozi hata siku moja bali balozi kuwa karibu na watu wake.
 
Hivi website ya ikulu imekuwa underconstruction for a year sasa sio? lakini "website" ya nini wakati kuna presidential site na word on the streets ni kwamba JK anawalipa wale watoto handsomely kuirun na kuimaintain ile website!
 
Hapa kwa kweli tumepata ahueni.Huku kuna mambo kweli.Ngoja tunaandaa mpango ambao utaishinikiza serikali ichunguze utafutwaji wa vyuo huku India ulikuwaje kwani hapa ada ambayo tunalipa haiendani na hadhi za vyuo.Na huyo mama asubiri moto wake.Hizi hela ni nyingi ili hali wanafunzi hela za matibabu hawana.
 
Ben hilo Data si la kawaida. please plz limwage soon. Wahindi wanawatesa jamaa zetu kule india, still wabongo wenzetu wanatumia kutumaliza..Wachunguzwe soon..
 
Sawa tuseme basi alishindwa kutengeneza hiyo website kwa sababu moja au nyingine. Wewe kama Mtanzania, huoni kuna sababu ukajitolea kutengeneza Website ya Ikulu, na itakufanya pia ujulikane zaidi ya Utanzania wako! Jitolee bwana usiwe kama hao walioshindwa kama unavyosema.

Samahani, Off-topic, Lwama Papa, mimi niko tayari nijitolee kutumia techonolojia ya kisasa ili nitoe mchango wangu kujaribu ku-improve the stinking ventilation system ya Dar Airport. Niko tayari kufanya hiyo kazi bure, so long vitu nitavyohitaji ili kufanikisha kazi hiyo nipewe (ni ushirikiano tu wa michoro na data za JKN Airport, treated with great confidentiality ofcourse). Je utanisaidia vipi kufanikisha mchango wangu? Mimi mtanzania, sitoki Norway wala Japan. Kama wakitaka kunilipa, mchango wangu utaenda jamboforum.
 
KYOMA..kimyaaa
MASATU..kimyaa
KULIKONI...kimyaa


inawezekana kuwa kweli kuna mtazamo kuwa mambo ya kuwa na website ni ANASA
 
wOrM alitoa pendekezo la kuwasaidia lakini inabidi wajiandae na watakao kuwa wanai-update kila siku. Je wanao wa kazi hiyo au ndio kalagha baho?
 
lakini baba zetu si wanatozwa KODI kwa ajili ya mambo haya?
sasa mfano wengine tukiamua kuwapeleka WAKOREA wajenge barabara kule samvulachole serikali itakubali?

acheni hizo
 
Lwama Papa, mimi niko tayari nijitolee kutumia techonolojia ya kisasa ili nitoe mchango wangu kujaribu ku-improve the stinking ventilation system ya Dar Airport. Niko tayari kufanya hiyo kazi bure,....

Mimi mtanzania, sitoki Norway wala Japan. Kama wakitaka kunilipa, mchango wangu utaenda jamboforum.


I see! Such a wonderful statement. Hata mimi kama ni gharama za kunipa bora ziende kwa JF Admin! Lakini naona Lwama kishatuacha solemba. Aliingia vizuri, labda kwakuwa ofisi za serikali hazifanyi kazi Jumamosi.

Meanwhile, hawa tanzania.go.tz mbona hawarekebishi DNS zao? Sidhani kwanini wawalazimishe wanaotembelea tovuti yao waandike www.

Same problem was with Uhuru.info! Nililalamika na nashukuru web admin alinielewa na kurekebisha hilo!
 
Ebana wOrM mie nakushauri jitolee tu kinachoendelea kitajulikana mbele ya safari Tutaona kama watashindwa kuiendeleza kama wanavyodai hawana uwezo, huu ni ushauri tu bwa WorM
 
shemzigwa,

Huyo 'Mjumbe wa Serikali' kishatuacha mataani! Halafu kumbuka mambo mengi ya serikali hasa Ikulu ni SIRI (Confidential) hata yale ambayo wewe unaweza usidhani yanahitaji kugongwa mhuri wa SIRI.

Huenda hata tovuti pia ipo hewani lakini ni SIRI hivyo it cant display only on your pc. By the way, am warming up...
 
Bwa wOrM Naamini muungwana hawezi kuweka vigeti namna hii kama waliopita kutakua na vigeti basi muungwana atarahisisha kidogo Si unajua tena kasi mpya!! lazima milango iwe wazi usije kugonga, na huyu mjumbe naamini atakuja tu cha maana hapo wewe kubali kujitolea kisha Tuone itakuaje! naamini uwezo unao mzee WorM
 
Maybe umesahau kitu kingine shemzigwa,

Japo naweza kuwa naenda nje ya topic niwie radhi, I doubt tovuti hiyo inaweza kupewa tenda kampuni ya kigeni kwakuwa serikali imekosa wazalendo wenye uwezo wa kuitengeneza na kuiendesha. Nafurahi kitu kimoja, watu wako tayari na si mimi pekee kutoa mchango wao wa BURE kwa serikali na kinachofurahisha jamaa hapo juu (defunkadelic) kajitolea hadi kusaidia kazi ya Uwanja wa ndege wa Airport. Wenyewe kama wamemnukuu vema anachotaka kufanya jamaa ni kitu adimu sana na muhimu kwa taifa.

Thanks
defunkadelic bro! Una moyo
 
kwenye hii issue nimenyanyua mikono. Labda akina Mwanakijiji wanaweza kufanya kitu lakini hili nimeshindwa mie
 
Back
Top Bottom