Website ya IKULU na miradi ya COMPUTER ya Serikali

Website ya IKULU na miradi ya COMPUTER ya Serikali

Hivi ulivyoandika vitatosha kujua hujui unaloandika... who told you public large office inahitaji service za TTCL broadbandss... hizi zipo kwa home users... etc please... do not danganya watu hapa...

Kwa muelekeo wako... utafika mahali kutuambia Ikulu ichukue service za 3G... au GPRS...

kazi kweli kweli... waheshimiwa... musivyovijua msijaribu kudanganya ummaa..

Kama Mtaalamu wa ICT and expert in TCP/IP... hakuna hoja hata kidogo kwenye thread hii... udaku tu na siasa za kitoto..

Sasa naomba nikupatie majibu yako... for an office like that will need at least 512K... lakini kwa kiasi wanachosema kwa mwezi... huenda wako kwenye 256K sasa angalia bei za TTCL... sio broadband samahani kaka


Huduma zako za Broadband hizi hapa ukiangalia utaona ziko usage based... maana yake... credit zikiisha link inakatika... kwa hiyo mkuu unataka link ya Ikulu ikatike wakati wowote... let us be serious kidogo...

Alafu angalia bei zote za broadband zinazungumzia intended customer wa juu kabisa ni SME... sasa Ikulu haiwezi ikawa under category ya SME...(wajasiria mali)
Heshima mkuu.

Possibly we're really not on same page. Mie natoa 'assumption' tena naiita "underestimate" ya 'Broadband' then you take as it is!! Who told you if the service intended to SME haiwezi kutumika dedicated to other institution? Au kwa sababu tovuti ya TTCL wame'recommend' (for SME)?
 
MI NAONA NISAWA COZ UNAJUA KWA MWEZI NI KIASI GANI KUTUMIA INTERNET NA INATEGEMEA NA KAMPUNI YA SIMU WALIYOJIUNGA NAYO.
labda katka matumizi hayo mengine na kama watakula ni kiasi kidogo sana
 
Geeque,

Thread haikuwa na hoja ya maana...nothing substantial deserving a debate... kwa hakika hapakuwa na issue... isipokuwa ndani ya thread... mzee mwanakijiji kuna hoja alizitoa nzuri kwa kufikiriwa zaid... lakini wenye hoja... walikuwa na siasa zaidi... kwa ajili ya kumbomoa mkuu wa nchi na afisa habari mkuu wake... lakini data zao zilikuwa wiki sana...

Lakini tumejifunza mengine ndani ya hiyo safari...

Ndio maana wengine tuliona mapema na kufanya makadilio hata ya 100milion. Anayway tumejifunza mengi
 
Hivi ulivyoandika vitatosha kujua hujui unaloandika... who told you public large office inahitaji service za TTCL broadbandss... hizi zipo kwa home users... etc please... do not danganya watu hapa...

Kwa muelekeo wako... utafika mahali kutuambia Ikulu ichukue service za 3G... au GPRS...

kazi kweli kweli... waheshimiwa... musivyovijua msijaribu kudanganya ummaa..

Kama Mtaalamu wa ICT and expert in TCP/IP... hakuna hoja hata kidogo kwenye thread hii... udaku tu na siasa za kitoto..
)

Mkuu nafikiri ukumtendea haki aliyejaribu kutoa hoja yake wengine hatuna uelewa na jinsi Ikulu inavyopata mawasiliano na kama unaona tulikuwa hatuna Current information za garama za mawasiliano ya Internet tanzania.

Mtoa mada alijaribu angalau kutoa garama kutupa information kidogo za kuweza kufanya tujue hali Ikoje.

Inawezekana wakati mwingine watu tuliangalia garama based on developed countries.

Hapo nilipo bold umeniogopesha mkuu.
 
Mpaka Kieleweke,

Hizi ni professions za watu, ndio zinatupa ugali na mkomboti, sasa kama wataalamu wetu karibu wote wa IT/Telecom hapa JF wanasema hizo fedha ni kidogo mno kwa internet kwa ofisi ya mawasiliano ya Ikulu, mbona wanasiasa hamtaki kuelewa? Kwi kwi kwi!!!

Suala hapa lisiwe pesa, labda tujadili kwamba Ikulu wanashindwa kutumia technology mpya, au tujadili value for money kwa maana ya kwamba value ambayo wananchi tunapata kwa Ikulu kuwa na matumizi ya Internet ni ndogo sana.

Ila tu hata kama ni mimi ningekuwa natoa huduma za Internet Ikulu ningewalipisha pesa kubwa zaidi ya hizo.

Hivi vyama vyetu vina wasemaji wao kwenye mambo ya Technology? Maana kitu kama hiki ni kuwapelekea idara ya technology ili watoe ushauri kabla ya wanasiasa kufungua midomo yao.
 
Wadau,

post tumeziona... wengi nadhani tumejifunza... ni muhimu ukiwa huna una ukakika na jambo ulitoe kwa mfumo wa swali!

Wale niliowakosea au kutowatendea haki... naomba radhi...

Ujumbe umefika... tuondoe siasa kila mahali!!!
 
Wadau,

post tumeziona... wengi nadhani tumejifunza... ni muhimu ukiwa huna una ukakika na jambo ulitoe kwa mfumo wa swali!

Wale niliowakosea au kutowatendea haki... naomba radhi...

Ujumbe umefika... tuondoe siasa kila mahali!!!

Safi sana Kasheshe unaanza kukomaa na labda kuona mbele .Haya ndiyo mambo, ndiyo utu uzima .watoto utawaona wana tushika miguu muda wote tukiwa nina kasi na wanarudiosha nyuma .
 
Mzee Mwanakijiji, he umekuwa msemaji wa wOrM? Malizeni mjadala halafu mseme bayana msimamo kama kulipwa au bure? Ni lini mtatoa mchango nchini kwenu kama mmeamua kuishi kibepari kwa maana chochote kinachofanywa, kiwe na consideration? Hebu kumbukeni "Kijana aliyepewa chakula na Kijiji kilichokuwa na njaa, ili apate nguvu ya kwenda kutafuta chakula mbali arudi nacho kuwasaidia aliowaacha Kijijini kwake maana, wangekigawa pale Kijijini kisingewatosha na wasingefika huko kupata chakula kingine- Kijana akala akashiba akaenda na akapata hicho chakula alichikifuata, badala ya kukirudisha Kijijini kwa wengi aliowaacha na njaa akaamua kubaki huku huko". Sasa na nyie msiwe kama huyo kijana kwa kusingizia eti mmeamua kuishi Kibepari. Lazima mkumbuke mlikotoka!

LOL!...njemba ya Ikulu hii
 
Yaani kwamba mpaka leo kuna watendaji wa serikali wanaoweza kuibreak down process ya appointment ya ubalozi kwa detail, na bado kuwa na fikira za kupewa handouts na kufanyiwa charity work na wananchi wao, inaelezea kwa nini nchi yetu ipo hapa ilipo.

Wanasema "bure ghali" na "cha mtu mavi (ashakum) temea mate".Ukishafanyiwa hisani unakuwa huna control wala confidence, leo serikali ikinilipa niwatengenezee tovuti tusatia sahihi mkataba unaonibind legally kutoa services fulani, hosting, updates, maintenance, security etc.Sasa nikifanya charity work halafu kesho keshokutwa nika i deface site ikulu itakuwa na nguvu gani ya kunishitaki wakati hata hatujasign mkataba?

Hizi mentality za kijamaa jamaa na penny pinching ndizo zinatulostisha.

Hivi mijitu inaiba mamia ya mamilioni ya dollars huko serikalini na mashirika ya umma halafu mnatuambia tufanye kazi ya kanisa? Mtu anakuja kabisa na confiedence zote kabisa na kutaka wananchi wajitolee kutengeneza tovuti ya ikulu?

Inaonekana huyu mtu haelewi ulimwengu unavyoenda, haelewi uchumi, haelewi biashara, haelewi usalama, haelewi fairness, haelewi ownership, haelewi Public Relations, haelewi chochote, anaelea elea tu.

And then you wonder why we are where we are!
 
Pundit,

Nani kafanyiwa charity na nani kajitolea nini, na tovuti ya Ikulu imekuwaje.

It's a bit old news, may have passed some of us by. Can you bring me up to speed?
 
Pundit,

Nani kafanyiwa charity na nani kajitolea nini, na tovuti ya Ikulu imekuwaje.

It's a bit old news, may have passed some of us by. Can you bring me up to speed?

Watu si wamebonda kwamba Ikulu haina website siku zote hizi? Basi mjomba mjomba, kamishna kamishna mserikali anakuja anatuimbisha nyimbo za mgambo na patriotism usawa huu watu tuna hasira na mafisadi, eti kama serikali haina tovuti ya ikulu tuitengenezee kwa charity work.

Rais mwenyewe si aliwabeza wananchi kwamba hawana uwezo wa kuisaidia serikali, lest wasije kusaidia halafu "kutafutana ubaya" (mtu ana mawazo finyu yule!)

Huku wanaomba charity work, wakati wezi hao hao wanapeleka puani mamia ya mimilioni -siyo ya shilingi- ya dolari za kinyamwezi!

Sheeeeeeish, atanifanya niwe Jmushi for a min...

The authoritative audacity, the twisted temerity.... the obfuscating obnoxius obsolete Ottoman-like ombudsmanship...
 
Leokweli anatuonyesha parking spot halafu anasema "gari hili hapa"!
 
Sijafanya updates miezi miwili in a row lakini najua hakuna changes zozote zile

anyone?
 
lol aibu.....ikulu website imelala.......au wamebadili anuani?
 
Salva na yeye amelala pia, na wala haoni umuhimu wa kuwa na chombo kama hicho hewani kwani kiwaamucha watanzania
 
Katika ile ripoti ya mpango wa maendeleo wa 2008/2009 kuna kitu hiki nimekikuta:

Item:
6527 Strengthening of TZ National
Website 200,000,000!
 
Katika ile ripoti ya mpango wa maendeleo wa 2008/2009 kuna kitu hiki nimekikuta:

Item:
6527 Strengthening of TZ National
Website 200,000,000!

Strengthening ? - that's definitely a word worth 200,000,000 !
 
Back
Top Bottom