Website ya IKULU na miradi ya COMPUTER ya Serikali

Website ya IKULU na miradi ya COMPUTER ya Serikali

Raia hata siku moja wasikubali at face value maelezo ya serikali yao kuwa wanataka kiasi fulani kwa ajili ya shughuli fulani. Siku raia wakianza kukubali maelezo ya serikali at face value hasa inapokuja matumizi ya fedha wanaweza kujikuta wanajengewa nyumba na Abunuwasi kwa kutumia tiara angani!

Always question, and if you trust them waambie waoneshe data!
 
Mkuu Wangu Chuma,

Karibu tena kaka, baada ya kupotea sana mchango wako hapa ni muhimu sana mku na unahitajika sana!

Usipoteee sana mkuu!
 
YU BETTER QUIT COZ U R MIXING THINGS.

nASEMA juu ya gharama za internet wewe unaleta video &teleconference, then unaona kuwa humix.

Nakuletea data wewe unabisha tuu hizo ndio spining.

Soma btn the lines ....

Kasheshe ni mmoja wa watu wa Salva Mkuu kieleweke ukimwaga data yeye anakwenda emotional na kuanza spinning .Soma mabadindiko yake yote siku zote hapa alibana sana mwisho akaachia .
 
Sina uhakika na matumizi ya Internet kwa Ikulu lakini kiwango hicho cha pesa walichoomba kinawezekana kabisa kulingana na gharama za internet Tanzania. Bongo gharama za Internet ziko juu sana ndio maana kuna baadhi ya Radio maarufu bongo mpaka leo wanashindwa hata kuwa na Online Broadcasting. Makampuni mengi makubwa ya Bongo hutumia Satelite Internet Connection ambayo ni very expensive. Tusubiri labda hiyo EASSy (The Eastern Africa Submarine Cable System) itakapomalizika ndio unafuu wa Internet utapatikana Bongo na nchi nchi za ukanda wa mashariki ya Africa.
 
Kasheshe ni mmoja wa watu wa Salva Mkuu kieleweke ukimwaga data yeye anakwenda emotional na kuanza spinning .Soma mabadindiko yake yote siku zote hapa alibana sana mwisho akaachia .

kwi kwi kwi... burudani kweli kweli....!!!!
 
Kasheshe ni mmoja wa watu wa Salva Mkuu kieleweke ukimwaga data yeye anakwenda emotional na kuanza spinning .Soma mabadindiko yake yote siku zote hapa alibana sana mwisho akaachia .

wewe as of recently umekuwa ukiropoka utumbo mkubwa sana (sijui ni wa tembo au ....., maana najua sio wa kuku)! sasa ukiulizwa kuhusiana huo uhusiano wa kasheshe na salva huna cha kujibu, mtu akikuuliza unasema anakuandama ! wewe mzima kweli ?? ?? ?? ??!!
 
Sina uhakika na matumizi ya Internet kwa Ikulu lakini kiwango hicho cha pesa walichoomba kinawezekana kabisa kulingana na gharama za internet Tanzania. Bongo gharama za Internet ziko juu sana ndio maana kuna baadhi ya Radio maarufu bongo mpaka leo wanashindwa hata kuwa na Online Broadcasting. Makampuni mengi makubwa ya Bongo hutumia Satelite Internet Connection ambayo ni very expensive. Tusubiri labda hiyo EASSy (The Eastern Africa Submarine Cable System) itakapomalizika ndio unafuu wa Internet utapatikana Bongo na nchi nchi za ukanda wa mashariki ya Africa.

Geeque,

Kumbe watu wenye data mko ni muhimu mujitokeze tusijazwe ujinga na wanasiasa uchwara, wasiotakia meme taifa letu.
 
Mjadala huu kwa kweli ni mzuri.. lakini nadhani pande zote mbili zinaweza kukubaliana kuwa.

a. Ipo haja ya modern Communications facilities at the State House na katika shughuli za mawasiliano Ikulu.

b. Kuweza kuwa na facilities hizo kunagharama na ni nagharama kubwa.

c. Hata hivyo serikali kama inataka kuwa na facilities hizo basi lazima iwe wazi, inahitaji nini, kwa kiasi gani, na nani atafanya na huyo atakayefanya is it the best offer and product? na swali la "Could we do the same for less"? Hofu yangu ni kuwa serikali yetu bado haina nidhamu ya bajeti ya fedha as long as fedha zipo basi hawana mtu wa kuwaambia hiyo sasa siyo mahitaji ya lazima bali anasa. Kwenye hili la internet nina hofu sana ya watu kuingizwa mjini.

d. Wananchi lazima waone matunda ya fedha zao. Tunajuaje fedha yetu imetumika kwenye internet ya Ikulu wakati hata website haipo, karibu siku ya 1000 sasa tangu ahadi? tunajuaje Ikulu wanatumia email wakati tovuti yao ya wananchi ilikuwa inashindwa kutumika kujibu maswali licha ya kufunguliwa kwa mbwembwe zote? Na ukienda kwenye tovuti hiyo http://www.wananchi.go.tz katika sehemu ya mawasiliano inaonesha kuwa ofisi nyingi zina anuani za ardhini lakini hazina barua pepe.. sasa internet ya nini?

e. Binafsi sioni ulazima wa kuwa fungu pekee la internet wakati tayari unafungu la Mawasiliano! Kwanini Idara ya Mawasiliano ya Ikulu au Wizara ya Habari isiwe ndiyo guardian wa mawasiliano yote ya serikali? Mojawapo ya mafungua mbayo yanaliwa vizuri sana ni haya ya internet ni wizara chache ambazo unaweza kuona ushahidi kuwa kuna internet duniani
 
Kwa mtu makini kama wewe ni lazima uone kwamba sheria iliyopitishwa karibuni ya kumpa mamlaka makubwa CAG ni mojawapo ya nia ya serikali kuhakikisha fedha za wananchi zinatumika vizuri...

Sasa wananchi kupitia kwenye bunge lao wata-question matumizi mabovu ya serikali...baada ya release ya ripoti ya CAG, sio kwananchi ambao hawana ujuzi wa hayo wanayoulizia kuenda serikalini moja kwa moja... this by all means will be chaos............

d. Wananchi lazima waone matunda ya fedha zao. Tunajuaje fedha yetu imetumika kwenye internet ya Ikulu wakati hata website haipo, karibu siku ya 1000 sasa tangu ahadi? tunajuaje Ikulu wanatumia email wakati tovuti yao ya wananchi ilikuwa inashindwa kutumika kujibu maswali licha ya kufunguliwa kwa mbwembwe zote? Na ukienda kwenye tovuti hiyo http://www.wananchi.go.tz katika sehemu ya mawasiliano inaonesha kuwa ofisi nyingi zina anuani za ardhini lakini hazina barua pepe.. sasa internet ya nini?
Hili pia lina siasa sana... website ya ikulu haina umuhimu mkubwa sana... zaidi ya website ya Taifa ambayo tunayo... vipaza sauti vipo kwa ajili ya siasa tu... nothing affecting GDP

Maswali yako ya internet na website... ni mchanganyiko unaoufanya makusudi kupoteza maana... i repeat these are two different topics.

e. Binafsi sioni ulazima wa kuwa fungu pekee la internet wakati tayari unafungu la Mawasiliano! Kwanini Idara ya Mawasiliano ya Ikulu au Wizara ya Habari isiwe ndiyo guardian wa mawasiliano yote ya serikali? Mojawapo ya mafungua mbayo yanaliwa vizuri sana ni haya ya internet ni wizara chache ambazo unaweza kuona ushahidi kuwa kuna internet duniani

Mafungu yanatofautishwa for auditing and accountability purposes...

Hata hivyo

Wananchi mna chakura sana kama kuku wa kienjeji... Ukihitaji hayo matumizi kuwa yameenda kwa haki... nenda kwa CAG office ulizia kama zinatumika vizuri...

Otherwise hizo ofisi zinatakuwa na kazi ya kuelemisha watu badala ya kufanyia hizo fedha zilizotengwa kutenda yanayotakiwa....

Hii haitakuwa na tofauti na fedha zilizopotezwa na mawaziri kwenda kuelezea kuwa bajeti ya 2007/08 ni nzuri...

Tujenge taifa... tuache kuwa na mawazo ya kimaskini ku-question milioni 38...
 
wewe as of recently umekuwa ukiropoka utumbo mkubwa sana (sijui ni wa tembo au ....., maana najua sio wa kuku)! sasa ukiulizwa kuhusiana huo uhusiano wa kasheshe na salva huna cha kujibu, mtu akikuuliza unasema anakuandama ! wewe mzima kweli ?? ?? ?? ??!!

Jitahidi kidogo kuandika ukasomeka badala ya kulia lia .Umekuwa mke wa Kasheshe sasa ? He is a spinner wote tunajua .Ni msemaji wa serikali na wewe ni shabiki wa CCM .Sasa ukweli utasimama na ukitaka ushahidi upo hapa hapa mtu asome mabandiko yako na yake ataona nini ninacho kisema .

Nashauri changia kidogo mada badala ya personality attacks .Lakini pia ninaweza kujibu tena kwa ukali zaidi nakupa muda na Mods waone kwamba nikianza basi wajue najibu nini .

karibu uchangia mada .Ikulu na 38m lakini hata website hawana .Ukiandika mails kwao zina bounce .So why so much money ?
 
karibu uchangia mada .Ikulu na 38m lakini hata website hawana .Ukiandika mails kwao zina bounce .So why so much money ?

Lunyungu,

Wewe mchangiaji mzuri lakini hapa unachanganya mambo; in short unatengeneza mseto...!!!

Kuwa na website na kuwa na internet access/connection havina uhusiano... unaweza ukawa na kimoja bila kingine still ukapata benefit unazotaka...

Kuhusu personal attack zako kama mimi msemaji wa serikali inaonyesha jinsi gani umedanganya wananchi kwa muda mrefu kwa kusema vitu vya uongo... Muogope Mungu mkuu... yupo hata huku kwenye mitandao... Usimdhani Mwenzako uongo... maana huo ni udhalimu mkubwa sana... Moto wa Jahanamu unakusubiri mkuu...

Wengine tupo kuhakikisha jamii haijazwi ujinga!!!
 
Naona wameamua kuwazuga wabunge wasiojua internet vizuri!!! Hilo halitahojiwa na wabunge! Si unajua watu walivyombali na ICT, basi hilo litapita kimyakimya. Anyway, sijui labda wanataka kununua savers na vifaa vingine na gharama ya mafundi (yaani wanaanza from the scratch). Kama ni hivyo, hizo si pesa nyingi sana.
 
kwi kwi kwi

sina mbavu...

Kasheshe umecheka nini hadi mbavu huna ? Unajua sisi wazee munkari samutaimu unapanda bwana.Mtu hana hoja kila siku kulia lia tu na kutuvua miguu na siye tunaenda mbele .Inakera anyway turudi kwenye mada ni matumizi ya Ikulu yanatisha internet ipi hasa wana ongelea ?
Maana hawana data base ya info zozote kila kitu ni ma file hata ya mwaka 1966 yapo .Majuzi moja limenidondokea juu limeandikwa mwaka 1969 nimepata mafua hata sasa nakohoa na chafya .
 
Mifano tu ya gharama za internet kwa Afrika Mashariki cheki hiyo link http://www.foundation-partnership.org/pubs/bandwidth/index.php?chap=chap2&sub=c2e

Geeque,

Thread haikuwa na hoja ya maana...nothing substantial deserving a debate... kwa hakika hapakuwa na issue... isipokuwa ndani ya thread... mzee mwanakijiji kuna hoja alizitoa nzuri kwa kufikiriwa zaid... lakini wenye hoja... walikuwa na siasa zaidi... kwa ajili ya kumbomoa mkuu wa nchi na afisa habari mkuu wake... lakini data zao zilikuwa wiki sana...

Lakini tumejifunza mengine ndani ya hiyo safari...
 
Kasheshe umecheka nini hadi mbavu huna ? Unajua sisi wazee munkari samutaimu unapanda bwana.Mtu hana hoja kila siku kulia lia tu na kutuvua miguu na siye tunaenda mbele .Inakera anyway turudi kwenye mada ni matumizi ya Ikulu yanatisha internet ipi hasa wana ongelea ?
Maana hawana data base ya info zozote kila kitu ni ma file hata ya mwaka 1966 yapo .Majuzi moja limenidondokea juu limeandikwa mwaka 1969 nimepata mafua hata sasa nakohoa na chafya
.

Lunyungu mimi mbavu zinauma....

Anyway bila internet connection... JF wataisomea wapi wakuu... kwenye internet cafe au?
 
sisi kampuni yetu in dedicated 1MBs ,tuanalipa 10,000,000/= per month na 120,000,000/= per year kweli pale Ikulu sijui wanawezaje kutumia kidogo hivyo labda they get free from TTCL
 
Back
Top Bottom