GT, unajua kila kitu ni opportunity ya ku-make money. wanasubiri kutunga mradi wa statehouse website upangiwe kama shs 3 billion halafu watafute mzabuni wa kuindesha na ku-update. Si unajua nchi ya miradi na ulaji, kitu kama hakina ulaji hakuna anayejishulisha nacho.
Jingine pia watendaji huenda wanaogopa rais anaweza kuwa karibu na wananchi na kupata info kutoka jikoni badala ya wao kum-update kwa wrong information!. Wao watasema wanadeal na cyber attack. Yaani huo ndiyo uwezo wa kubuni wa akina Salva kuja na Blog?, wanaleta utani kweli kwa nchi hawa, wao wanadhani humo Ikulu wapo kwa ajili ya kuendesha maisha yao, hawajui kuwa IKULU ni "figurehead"