Yona F. Maro
R I P
- Nov 2, 2006
- 4,201
- 254
Lakini Imeshafanywa Siasa Iko Mkono Wa Kushoto Na Mimi Nipo Kulia Siwezi Kuja Huko Nikigongwa Na Gari Je ?
1. TTCL broadband connection (ambayo pengine ndio rahisi zaidi) of 2Mbps bandwidth cost more than Mil. 1/= per month.kasheshe... mwaka jana Ikulu walitengewa fedha za Intaneti.. na mwaka juzi pia.. hizo firewall, na vyombo, nk halafu kuna bajeti ya mawasiliano.. n.k hivi huoni tatizo? Kabla hawajapewa hatu hutu tusenti milioni 38 si wasema hizo nyingine walizopewa walizitumiaje?
1. TTCL broadband connection (ambayo pengine ndio rahisi zaidi) of 2Mbps bandwidth cost more than Mil. 1/= per month.
2. Ikulu has more than one premise, each with more than one building,which implies in their totality may need at least an equivalent of two(2)-TTCL broadband connection of 2Mbps
3. From (1) and (2) above you can get a total of more than 24M/= per year (for this underestimate assumptions) for a mere connection only.
4. Remember there are additional costs such as maintenance, services, repair, QoS, etc.
Kwa umuhimu wa Ikulu bado nashiwishika kwamba bajeti iliyowekwa imezingatia hali halisi ya uchumi, otherwise ilitakiwa kwenda juu zaidi kwani hata 2-connections za 2Mbps bado hazitoshi.
Hivi ulivyoandika vitatosha kujua hujui unaloandika... who told you public large office inahitaji service za TTCL broadbandss... hizi zipo kwa home users... etc please... do not danganya watu hapa...
Kwa muelekeo wako... utafika mahali kutuambia Ikulu ichukue service za 3G... au GPRS...
kazi kweli kweli... waheshimiwa... musivyovijua msijaribu kudanganya ummaa..
Kama Mtaalamu wa ICT and expert in TCP/IP... hakuna hoja hata kidogo kwenye thread hii... udaku tu na siasa za kitoto..
Kasheshe, mkuu heshima mbele, mimi sioni haja ya kuwaita watu wanatoa udaku na kuendeleza siasa za kitoto. Kama Ikulu haijaeleza kwanini ilishindwa kutumia hela za kodi za wananchi ilizotengewa kwa ajili ya matumizi yake kwenye ICT katika bajeti zilizopita, watu wanahaki ya kukasirika na kuuliza.... mashaka na kutokuwa na maelezo yaliyo kina ndiyo hayo yanayojenga huu unaouita 'udaku'. Kama maelezo kamili yangetolewa, kwenye yale waliyokwisha fanya, waliyoshindwa kufanya na wanayotarajia kufanya, gharama zake na malengo wanayotaka wayafikie; basi sioni kama haya mambo ya kuhoji 'vimilioni 38' yangejitokeza....... kwanini kila kitu usiri usiri tu jamani..... what so secret about ICT implementation at State House?!.... It's people involved closely at this project fueling these hum drum debates.
SteveD.
Kasheshe, mwaka jana na juzi Ikulu hawakutengewa fedha za Intaneti.. labda hapa tunazungumzia huduma za wao kupata mawasiliano ya intaneti na siyo wao kuwa na uwezo wa kufanya mambo yao kwa kutumia intaneti e.g tovuti, streaming, etc...
Kasheshe, i believe that one of many needs for ICT implementation is to propagate openness and accountability. For instruments of state, what it takes for them to understand kuwa hawana haja ya kuulizwa maswali, bali wanapaswa kutoa maelezo kabla hata ya maswali hayajawaendea..... i believe that accountability is a cornerstone in their foundation. Or are they purposely failing one of their own principles?SteveD.
Poa, mumewauliza wakakataa kuwajibu! kuna vitu tunalazimika kutofautisha... webdevelopment na hosting ya site ya ikulu... na internet access/connection... ukiyatofautisha haya na ukijua lipi limepewa fungu lipi... majibu ni marahisi...
Nina imani kubwa sana... hakuna sehemu bajeti zake ni za Uhakika zaidi serikalini kama bajeti za ICT... kwa kuwa ukimtumia vendor/supplier... request for quote... anakupatia baada ya dakika 30min... meaning ni rahisi kuwa na bajati iliyokaribu zaidi... kuliko... kwenye secta nyingi...
Mimi sio tajiri lakini 38mil. ni vijisenti. guys... let focus somewhere else....
Mpaka kieleweke,
Hawa wao kwenye kasma 310403 vifaa vya eletronik (wireless,servers,etc) kitengo wameomba 3,000,000.
kITENGO cha ukaguzi wa ndani kifungu 1004 ,wao kwenye internet wameomba kiasi cha kasma 260104 shilingi 4,800,000.
Kifungu 1003 sera na mipango hiki ni kitengo kingine cha Ikulu wao kwa ajili ya internet wameomba kiasi cha shilingi 1,400,000.
Kasheshe, i believe that one of many needs for ICT implementation is to propagate openness and accountability. For instruments of state, what it takes for them to understand kuwa hawana haja ya kuulizwa maswali, bali wanapaswa kutoa maelezo kabla hata ya maswali hayajawaendea..... i believe that accountability is a cornerstone in their foundation. Or are they purposely failing one of their own principles?
SteveD.
Sasa wewe ndio ulikuwa unasema kuwa pesa hizo ni ndogo ila ukweli ni kuwa kila kitengo kimetengewa pesa kwa ajili ya Internet sasa ukiangali kitengo cha mawasiliano utaweza kuona nin i ninachotaka watu hapa wafikiri kwa kina zaidi kwanini wao wapewe 36ms?
Think again kama kila kitengo kinatengewa pesa kwa ajili ya kulipia server etc sasa hizo za kulipia gharama za intenet mbona nyingi kwa mwaka?
Kwenye conference zimetengwa zifuatazo;
1.ofisi ya Rais secretariat ya baraza la mawaziri conferences fungu 260703 wametengewa 25,300,000.
Gharama za kukodi ndege fungu 260706 wameomba shilingi 800,000,600.
2.Kitengo cha sera na mipango mikutano wao wameomba fungu 260703 shilingi 2,030,000
3.Kitengo cha ukaguzi wa ndani wao wameomba kupewa ,fungu 260703 shilingi 2,700,000.kwa hivyo kila kitengo kimeomba kupewa pesa kwa ajili ya mikutano yake na hivyo za internet hazihusiani hata kidogo na mikutano.