Website ya IKULU na miradi ya COMPUTER ya Serikali

Website ya IKULU na miradi ya COMPUTER ya Serikali

Naam, hawa jamaa katika kuendeleza fan yao na kuthibitisha kuwa they are bunch of jockers wameamua kuja na BLOG badala ya website na of course blog yao iko hosted na blogspot...nadhani hii itakuwa ni mradi wa FREDDY MARO akisaidiana na LUHANJO na i suspect con-sultant wao atakuwa ni SALVA RWEYEMAMU... maana i dont think JANUARY could be part of this none-sense kwa sababu mara ya mwisho hii blog yao wameiupdate mwezi wa 5 na huu ni mwezi wa 8

http://mawasilianoikulu.blogspot.com/

nadhani tushajua kwa nini hawataki rais awe na website...maana watashindwa kuiupdate vilivyo

Whats so wrong kuwa na website ya ikulu kama hii

KENYA
http://www.statehousekenya.go.ke/

UGANDA
http://www.statehouse.go.ug/

RWANDA
http://www.presidency.gov.rw/
Kweli Nchi yetu haipo makini kwenye utendaji wake.Instead of creating a dynamic website wao wanaweka a blog halafu wanai-update 3 times in a year?!!It is a joke kwa ulimwengu huu wa habari.Sijui niseme weakness za ofisi ya habari Ikulu!

Mungu kweli turehemu.
 
lakini ngoja kidogo pale wanasema ni "Directorate of Presidential Communication, President's Office of the United Republic of Tanzania, State House, Dar es salaam, Tanzania" kwa hiyo ni blog ya directorate ya communication na siyo ya ikulu yenyewe, please someone tell me its true. naweza kuchanganyikiwa

Ukiishajua Ikulu ni nini ndipo utajua kuwa kila ofisi iliyopo Ikulu ni sehemu ya IKULU, "WH Briefing" sounds familiar?, anayeongea ni Robert Gibbs msemaji wa WH. Na msemaji wa IKULU ni Salva, hivyo mawasiliano yote ya IKULU na wananchi yanapaswa kuwa chini ya hiyo wanayoiita Directorate, vyeo vya ovyo ovyo ovyo ili kuhalisha mshahara mkubwa kwa vichwa vilivyo butu.
 
lakini ngoja kidogo pale wanasema ni "Directorate of Presidential Communication, President's Office of the United Republic of Tanzania, State House, Dar es salaam, Tanzania" kwa hiyo ni blog ya directorate ya communication na siyo ya ikulu yenyewe, please someone tell me its true. naweza kuchanganyikiwa

maybe SALVA anaweza kuwa na jibu la hili swali

mind you...wenyewe wanashinda humu JF
 
Naam, hawa jamaa katika kuendeleza fan yao na kuthibitisha kuwa they are bunch of jockers wameamua kuja na BLOG badala ya website na of course blog yao iko hosted na blogspot...nadhani hii itakuwa ni mradi wa FREDDY MARO akisaidiana na LUHANJO na i suspect con-sultant wao atakuwa ni SALVA RWEYEMAMU... maana i dont think JANUARY could be part of this none-sense kwa sababu mara ya mwisho hii blog yao wameiupdate mwezi wa 5 na huu ni mwezi wa 8

http://mawasilianoikulu.blogspot.com/

nadhani tushajua kwa nini hawataki rais awe na website...maana watashindwa kuiupdate vilivyo

Whats so wrong kuwa na website ya ikulu kama hii

KENYA
http://www.statehousekenya.go.ke/

UGANDA
http://www.statehouse.go.ug/

RWANDA
http://www.presidency.gov.rw/
mkuu huyo january unajaribu kumtetea lakini is amaong of bogus pale state house......muulize nani anae update hili ji blog.....

-hivi january makamba ana cheo gani Ikulu? nini kazi zake ikulu? yeye kama mdomo wa jk lazima awe mbele kwenye utumbo wa blog hii.....

hivi nani alishwahi kuingia mule state house kwenye kitengo cha IT? ni aubu tupu.....hata internet cafe ya nyani ngabu ina afadhali.....
 
Yeah...exactly, hivi huyo January kazi yake nini hasa? Kuna hata job description ya kazi yake?
 
Kwa sababu January hahusiki na mambo haya wahusika ni SALVA na mwenzie FREDDY MARO

sasa unasema January ni bogus kisha unaliza ana cheo gani....wapi na wapi

tatizo pale kuna mi dinosaurs ambayo inaongozwa na akina LUHANJO na hawataki changes wao wako ok na status quo na hii ni aibu

nadhani next time JK akifanya Q&A na waandishi itabidi aulizwe vipi kuhusu website na huu mwaka wa 5 unaingia
 
Yeah...exactly, hivi huyo January kazi yake nini hasa? Kuna hata job description ya kazi yake?

Hahusiki na hii website..mkomalieni SALVA, FREEDY MARO na LUHANJO January ni mtu mdogo sana mle

you are barking at the wrong tree
 
Yeah...exactly, hivi huyo January kazi yake nini hasa? Kuna hata job description ya kazi yake?
Atuambie followe wake GT.....
maana mie nashangaa sana maana msemaji wa ikulu hajulikani mpaka sasa hivi....sio Salva,luhanjo wala january.....
-hii blog ipo siku nyingi yaani wanafanya kazi za zima moto.....sasa ona eti jk anatuuliza speech yake tumeionaje? nani kaandika speech?
 
narudia January hahusiki

muulizeni LUHANJO na SALVA ndio wenye majibu ya hii blog na website...Freddy Maro alileta jama zake watengeneze website lakini baadae ikaonekana yale yale ya kutaka kupeleka inflated prices nadhani hiyo ndi iliwaput off akina SALVA

wakati tunaendelea mmeona madudu ya website ya WAZIRI MKUU?
 
kwanza kubali kuwa hahusiki na hii website ya ikulu

hii ni kazi ya SALVA
sijui mkuu......maana nijuavyo ana mkono wa mawasiliano hapo ikulu.......

-hivi jk kule CISCO Google alikwenda kufanya nini? kuangalia mawaya ya network na ma screen eeh? maana alipkuwa akifungua mkongo wa mawasiliano alitoa mfano wa simu za video!
 
ukitaka kujuakama kule isco hawakumchukulia serious then utajua kama Sergei Brin hakuwepo kwenye ile tour..lakini Kagame alipokwenda walimpa manjonjo yote na sasa hivi Google wako Rwanda wanaoffer service zao kwa Rwanda for free

Kule CISCO nako hali ndio hiyo hiyo huyu bwana hakuwepo wakati JK alipokwenda kuwatembelea

John_Chambers_World_Economic_Forum_2007.jpg

of course hilo si kosa la JK lakini lahao waliopanga safari yenyewe
 
Kwa sababu January hahusiki na mambo haya wahusika ni SALVA na mwenzie FREDDY MARO

sasa unasema January ni bogus kisha unaliza ana cheo gani....wapi na wapi

tatizo pale kuna mi dinosaurs ambayo inaongozwa na akina LUHANJO na hawataki changes wao wako ok na status quo na hii ni aibu

nadhani next time JK akifanya Q&A na waandishi itabidi aulizwe vipi kuhusu website na huu mwaka wa 5 unaingia

Hahusiki na hii website..mkomalieni SALVA, FREEDY MARO na LUHANJO January ni mtu mdogo sana mle

you are barking at the wrong tree

narudia January hahusiki

muulizeni LUHANJO na SALVA ndio wenye majibu ya hii blog na website...Freddy Maro alileta jama zake watengeneze website lakini baadae ikaonekana yale yale ya kutaka kupeleka inflated prices nadhani hiyo ndi iliwaput off akina SALVA

wakati tunaendelea mmeona madudu ya website ya WAZIRI MKUU?

Head of Vodacom Foundation Mwamvita Makamba B.
Ushaanza kumwonea binti wa watu

mwenyewe katulia tuliiii lakini wapi!!!

naona bado uko kwenye vitendawili na hadithi

na narudia mwacheni Mwamvita Makamba peke yake kama alivyo

naona bado uko kwenye vitendawili na hadithi

na narudia mwacheni Mwamvita Makamba peke yake kama alivyo
Duh mbona wewe unapinga tu lakini utoi alternative? Huyo Mwamvita nani wako? Watu wanadiscus ili kupata trend ya kuendelea na mada wewe unasema umwacheni who are you?

Duh! sina Comment!
 
Last edited:
lakini Gaby Mgaya thinks otherwise

JK and the media

Gabby Mgaya, 26th May 2009 @ 04:20, Total Comments: 5, Hits: 875

President Jakaya Kikwete loves the media and the media loves him, there is no doubt about that. In fact, the president of the fourth phase Tanzanian government has been closer to the fourth estate professionals to the extent of putting himself on first name terms relations with them than any other leader of independent Tanzania.

The president has always been friendly to the ladies and gentlemen of the pen for a very long time. Some old timers recall his close ties with some journalists since his University of Dar es Salaam days.

This relationship continued even after he got a job in the ruling TANU (later to become CCM) after finishing his studies. His friends in the media watched as the young Kikwete rose through the ranks from a junior CCM cadre to member of the party’s National Executive Committee.
05_09_xw8ns0.jpg

The fraternity watched as he went on to become MP for Bagamoyo, then MP for Chalinze, deputy minister and minister. Despite his remarkable and impressive path to national leadership, Kikwete remained closer to the media.It is the media that Mr Kikwete chose to break news of his intention to contest for the Union presidency – at Kibaha.

From day one, when he made his announcement to contest, to his party’s screening and nomination processes, the media decided to turn to a long time friend – as the saying goes: One good turn deserves another. This does not mean, however, that the media violated their own fair reporting and impartial ethics by favouring one candidate.

Candidates from all other political parties were given equal treatment although judging from the campaign trends; it was evident from the beginning that JK, as the same media fraternity referred to him, would win the presidential poll. He did.JK made good use of the media in his entire election campaign and ensured that the accompanying journalists were given first class treatment.

He even found time in between his busy itinerary to meet them over a cup of coffee – to share views. One could safely sum it all up by saying that use of the media was one of the factors that helped JK win the presidency.

It was no wonder then that after JK was sworn in as president, he invited all the journalists who covered his election trail to the State House for a drink, snacks and person to person talks.

And that was not all. The president has made it a point by including the media in his delegations whenever he travels outside the country, who have helped by informing Tanzanians on the president’s programme and activities abroad.

The media has a very important role to play in the affairs of the nation, including coverage of the president. JK has set a good precedence for more media involvement in the nation’s governance. That’s what is known as transparency.

gabbymgaya@yahoo.com

labda mtu angemwambia Gaby kuwa wenzie wanaoperate kwa blog ambayo mara ya mwisho ilikuwa updated in May
 
6f739x.jpg

Mnaiona podium hiyo ? sasa huyu ndiye Mgaya anamsifia kuwa ni media savy..the man is just careless
 
Back
Top Bottom