Wazoefu wa haya mambo tusaidiane hapa

Ndio umeshachunwa HIVYo ila bado unagangania ngozi.
 
Alooh nimekosa Mimi nimekosa Sana! Tatizo kuipata second chance na kibunda nikiokoe ndio shida naweza poteza vyote kwa pamoja
Pole mkuu, kibunda samehe tu, ila kama huwezi mshawishi mrematch ila kama hujali kuhusu kibunda na kipo cha kuzidi.

La sivyo samehe uendelee kukandia mademu mitandaoni πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Dah Pole sana mjukuu wangu πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Usimuache, jitahidi umpe muda KWANZA amsahau yule wa KWANZA ila jitahidi naawe kumuandaa kiaina kama kumshikashika usiomne mzigo KWANZA alafu ye MWENYEWE atakuletea INAOMEKANA HAMNA muda mrefu bado hajakuzoea, kama HAIELEWEKI PIGA teke tembea mbeleeee
 
Alooh unanipa tamaa sema yule mpuuzi ukijifanya unampetipeti anapiga vizinga sio vya nchi hii na nilivyo na huruma najikuta natoa hadi namba za Siri za mpesa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…