Nadhani ingependeza kama Mh.Waziri angeipeleka hoja ya kumhoji mtumishi wa Mungu kwa IGP badala ya kwa Kamishna kanda maalum."...ni ajabu kama yote hayo alitendewa na bado hakuwasilisha malalamiko kwenye vyombo vya dola inaleta ukakasi."
"...hivi kweli utendewe yote hayo muda wote huo ndiyo usubiri hasi Krismasi useme?!" Amehoji Simbachawene.
"....kwasababu yupo hapa Dar es Salaam na ametoa tuhuma nzito namna ile namuagiza sasa Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam amwite na amuhoji kuhusu tuhuma hizo." Amesema Simbachawene Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi.
Chanzo Millard Ayo.
Ataulizwa ni ikulu ipi!!?..bahati hakuna ikulu iliyothibitika kuiba kura au kuwa ya ibilisi duniani,kazi anayoHii move ilikuwa expected maana wasingeweza kukaa kimya. Ni jambo jema though.
Mwingira akawataje hao waliomkosakosa kumuua mara tatu ili Simbachawene na jeshi lake wakawasake.
Kwenye issue ya “ushetani” na “kuiba kura” nahisi watajifanya kama vile hawakulisikia maana haikutajwa ni Ikulu au Serikali ipi
Yaani polisi wafanye mahojiano live!!..umevimbiwa pilau!!?Nadhani ingependeza kama Mh.Waziri angeipeleka hoja ya kumhoji mtumishi wa Mungu kwa IGP badala ya kwa Kamishna kanda maalum.
Secondly...mahojiano yawe live(bayana)huenda wananchi wakajitokeza kusaidia kama yule shahidi kwenye kesi ya kina Mh.Mbowe aliyoonhewa Qiewns language fluently na akaĺeta vacobulary mpya MCHONGO
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Anakimbia Tena!?Huyu mjinga alikubali wito wa Jeshi la Polisi imekuaje aamukie airport badala ya kituo cha polisi, watu bado hamjifunzi kusoma alama za nyakati…
Kitendo cha kusema Ikulu ilikuwa na shetani, moja kwa moja amemgusa Mama yetu Samiah Suluhu Hassan maana ndio alikuwa Makamu na Msaidizi wa Hayati shutuma zote mnazomtupia Hayati JPM moja kwa moja zinamgusa Mama pia..
Lazma akayatolee maelezo kauli alizotoa basi..
Wewe Simbachawene mwenyewe ulitulia kama maji ya mtungi usicheze na Hayati JPM....
Kila kona watu walifyata....itakuwa Mwingira....
Nchi ngumu sana hii...
Nani alikuambia kuwa waziri ana mamlaka ya kuunda tume??Simbachawene Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, unda tume huru ya kuchunguza kifo cha JPM .
.Usisubiri hadi 2025 wananchi wanahoji na Hakuna majibu na majawabu sahihi kuhusu kifo cha JPM.
Mwenyekiti wa tume hiyo awe Dr Bashiru Ally Kakurwa na mke wa marehemu JPM awe mjumbe wa hiyo tume.
Huyu waziri ni hopeless, ungeanzia wapi kulalamika kwenye utawala uliojaa kila aina ya ukatili?"...ni ajabu kama yote hayo alitendewa na bado hakuwasilisha malalamiko kwenye vyombo vya dola inaleta ukakasi."
"...hivi kweli utendewe yote hayo muda wote huo ndiyo usubiri hasi Krismasi useme?!" Amehoji Simbachawene.
"....kwasababu yupo hapa Dar es Salaam na ametoa tuhuma nzito namna ile namuagiza sasa Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam amwite na amuhoji kuhusu tuhuma hizo." Amesema Simbachawene Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi.
Chanzo Millard Ayo.
=====
Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene ameelekeza Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar kumtafuta Askofu Josephat Mwingira na kupata maelezo zaidi, kufuatia tuhuma mbalimbali alizotoa ikiwemo kutishiwa maisha
Amesema, "Ni tuhuma nzito, zinapotolewa na Kiongozi wa Kijamii/Kidini na ambaye ni maarufu na anajulikana tunapata shida kidogo. Kama matukio haya yote ndivyo yalikuwa yanatokea kwanini hatoi taarifa Polisi ili hatua ziweze kuchukuliwa kuwatafuta wahusika"
Ameongeza, "Tamko la Askofu Mwingira mimi nimelisikia kwenye Mitandao. Nimepata 'clip' lakini sijasikia vizuri maana kama haina sauti. Bado tunaendelea kulifuatilia"
Kuna Serikali zaidi ya hiyo ambayo ndo inatuhumiwa kutaka kumpoteza 3 times?Kama matukio haya yote ndivyo yalikuwa yanatokea kwanini hatoi taarifa Polisi ili hatua ziweze kuchukuliwa kuwatafuta wahusika"
Hilo jitu katiri lilikkufa kwa CoronaSimbachawene Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, unda tume huru ya kuchunguza kifo cha JPM .
.Usisubiri hadi 2025 wananchi wanahoji na Hakuna majibu na majawabu sahihi kuhusu kifo cha JPM.
Mwenyekiti wa tume hiyo awe Dr Bashiru Ally Kakurwa na mke wa marehemu JPM awe mjumbe wa hiyo tume.
Kuunda tume kuchunguza kifo cha shetani ni kupoteza hela bure,labda kama mnataka kumpa zawadi aliemuuaSimbachawene Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, unda tume huru ya kuchunguza kifo cha JPM .
.Usisubiri hadi 2025 wananchi wanahoji na Hakuna majibu na majawabu sahihi kuhusu kifo cha JPM.
Mwenyekiti wa tume hiyo awe Dr Bashiru Ally Kakurwa na mke wa marehemu JPM awe mjumbe wa hiyo tume.
Amepewa zawadi ya uongoziKuunda tume kuchunguza kifo cha shetani ni kupoteza hela bure,labda kama mnataka kumpa zawadi aliemuua
Uchunguzi dhidi yake ? Hapo mbona kama vile una maanisha yeye ndo mtuhumiwa?Wana haki ya kumuhoji, maana tuhuma zimetolewa kwa Serikali....wasiishie tu kumuhoji bali waanzishe uchunguzi dhidi yake juu ya yote anayosema ametendewa ukweli wale ujulikane..
Hakuna cha ajabu hapo. Akina Lissu walitoa taarifa hakuna kilichofanyika. Sasa kulikuwa na haja gani kwa Mwingira kutoa taarifa kwa Hali iliyokuwepo."...ni ajabu kama yote hayo alitendewa na bado hakuwasilisha malalamiko kwenye vyombo vya dola inaleta ukakasi."