Waziri wa Mambo ya Ndani aagiza Polisi Kanda Maalum ya Dar kumsaka na kumhoji Askofu Mwingira

Simbachawene Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, unda tume huru ya kuchunguza kifo cha JPM .
.Usisubiri hadi 2025 wananchi wanahoji na Hakuna majibu na majawabu sahihi kuhusu kifo cha JPM.
Mwenyekiti wa tume hiyo awe Dr Bashiru Ally Kakurwa na mke wa marehemu JPM awe mjumbe wa hiyo tume.
Kifio cha Magufuli hakihitaji tume ya uchunguzi. Huyo ilikuwa lazima afe kwa namna yeyote ile ili Nchi yetu nzuri itoke mikononi mwa shetani.

Labda tuunde tume ya kusherehekea kufa kwa shetani Magufuli
 
Na ya shambulio la Lisu, na mwenyekiti awe Mnyika. Hapo ukweli utakaa vizuri.
 
Simbachawene Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, unda tume huru ya kuchunguza kifo cha JPM .
.Usisubiri hadi 2025 wananchi wanahoji na Hakuna majibu na majawabu sahihi kuhusu kifo cha JPM.
Mwenyekiti wa tume hiyo awe Dr Bashiru Ally Kakurwa na mke wa marehemu JPM awe mjumbe wa hiyo tume.
Tuanze Kwanza kuunda tume ya kuchunguza kifo cha Mkapa.
 
Wana haki ya kumuhoji, maana tuhuma zimetolewa kwa Serikali....wasiishie tu kumuhoji bali waanzishe uchunguzi dhidi yake juu ya yote anayosema ametendewa ukweli wale ujulikane..

Na ukweli ukijulikana utafichwa kabatini kama ule uchunguzi wa aliyejuinganishia bomba la mafuta hapa mjini, kwani IGP alisema ndani ya siku 7 ataweka ripoti ya uchunguzi hadharani.
 
Kwa hyo mjadala wa KATIBA MPYA tunaupotezea kwa matukio ya kubumba na CCM dah?

Wapinzani tusitolewe kwenye reli tafadhari nchi nyinginhuwatumia viongoz wa dini kubadili upepo wa kisiasa

Hawa akina mwingira hawapo pale kidini wapo kimkakati kwa ajil ya dola

Laiti watanzania wangetumia hata 9% ya ubongo wao nadhan tungekuwa mbali Sana

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Wapinzani ni wapumbavu sana!

Kila siku huwa wanatupiwa fupa la kuahangaika nalo, huku ccm wakiendelea kufanya yao
 
Kifio cha Magufuli hakihitaji tume ya uchunguzi. Huyo ilikuwa lazima afe kwa namna yeyote ile ili Nchi yetu nzuri itoke mikononi mwa shetani.

Labda tuunde tume ya kusherehekea kufa kwa shetani Magufuli
Cheti fake relax.

Magufuli alikufa km ilivyokufa misukule ya ukoo wako
 
Wape walao clue pakuanzia,you seem to have classified information
Simbachawene Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, unda tume huru ya kuchunguza kifo cha JPM .
.Usisubiri hadi 2025 wananchi wanahoji na Hakuna majibu na majawabu sahihi kuhusu kifo cha JPM.
Mwenyekiti wa tume hiyo awe Dr Bashiru Ally Kakurwa na mke wa marehemu JPM awe mjumbe wa hiyo tume.
 
Juzi Zitto alisema nyumba zake na mashamba yalichomwa na watu walitumwa na Magufuli kumuuwa na anawajua, Simbachawene Kimya wala hajajigusa. Watu wa System wanaheshimiana hadi raha yaani.
 
Kuna Serikali zaidi ya hiyo ambayo ndo inatuhumiwa kutaka kumpoteza 3 times?
Ninachojua hamna ambacho serikali inaweza kumfanya Nabii Mwingira, wataishia kuhitilafiana na bad consequences zaidi kwa kila ambaye atatia pua sakata hili. Wakati mwingine ni bora kuchutama kuficha nyeti zako.
Kwamba yeye ni untouchable?
Mnaogopeshwa na hizo nguvu zake za giza alizochukua Nigeria?
 
Simbachawene Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, unda tume huru ya kuchunguza kifo cha JPM .
.Usisubiri hadi 2025 wananchi wanahoji na Hakuna majibu na majawabu sahihi kuhusu kifo cha JPM.
Mwenyekiti wa tume hiyo awe Dr Bashiru Ally Kakurwa na mke wa marehemu JPM awe mjumbe wa hiyo tume.
uchunguzi wa nini. Alikuwa mbishi hadi anaibishia korona, kwamba korona hakuna. Korona nayo ikamjibu. Hapo muuwaji atakaebambwa ni Corona tuu.
 
"...ni ajabu kama yote hayo alitendewa na bado hakuwasilisha malalamiko kwenye vyombo vya dola inaleta ukakasi."

"...hivi kweli utendewe yote hayo muda wote huo ndiyo usubiri hasi Krismasi useme?!" Amehoji Simbachawene.

"....kwasababu yupo hapa Dar es Salaam na ametoa tuhuma nzito namna ile namuagiza sasa Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam amwite na amuhoji kuhusu tuhuma hizo." Amesema Simbachawene Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi.

Chanzo Millard Ayo.

=====

Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene ameelekeza Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar kumtafuta Askofu Josephat Mwingira na kupata maelezo zaidi, kufuatia tuhuma mbalimbali alizotoa ikiwemo kutishiwa maisha

Amesema, "Ni tuhuma nzito, zinapotolewa na Kiongozi wa Kijamii/Kidini na ambaye ni maarufu na anajulikana tunapata shida kidogo. Kama matukio haya yote ndivyo yalikuwa yanatokea kwanini hatoi taarifa Polisi ili hatua ziweze kuchukuliwa kuwatafuta wahusika"

Ameongeza, "Tamko la Askofu Mwingira mimi nimelisikia kwenye Mitandao. Nimepata 'clip' lakini sijasikia vizuri maana kama haina sauti. Bado tunaendelea kulifuatilia"
Huyu waziri mpumbavu sana,angetoa taarifa kwa polisi gani?wakati waliokuwa wanataka kumdhuru wapo ndani ya polisi hiyo hiyo na wengine ni wakubwa wa hao polisi.
Hivi anajua polisi mpaka leo hawajawahi kujibu nani alimteka Mo dewji?nani alimpiga risasi Tundu Lisu?je anakumbuka wale waliotaka kumteka Mfanyabiashara Zakaria,akajiami na kuwachapa risasi?
 
Jimbo lake limechoooka yeye anakimbilia ku solve habari za ukweli Jimboni hakanyagi eti anawatumikia Wana Kibakwe 90% wahehe naona nao wamekosa kujitambua
 
Usifikiri kila anayemponda mungu wenu ni cheti feki!!
Na nita deal na wewe popote kwa namna yeyote ile ya maneno yako machafu.

Huwezi kusema marehemu wa wenzako halafu ya kwako inayooza husemi
 
Wameamua kwamba Askofu Mwingira ahojiwe na polisi:

Nabii Mwingira kuhojiwa na Polisi

Yaonyesha Askofu Mwingira kaongea wakubwa wasiyopenda kuyasikia.

Hoja hujibiwa kwa hoja. Hoja haipingwi kwa rungu.

Kauli za maonyo ya Mwingira si ya kwanza:

View attachment 2059385

Vipi kwa Askofu Gwajima mbona waheshimiwa hawa hawakuona umuhimu wake, kuhojiwa na polisi?

Sera zenu hizi za kibaguzi hazisaidii kitu, bali zinazidi kurutubisha chuki.

Tumeyasikia kwa Mzee wa Upako, Askofu Shoo, Askofu Mwingira, na bado:

Maaskofu wataka haki kwa kila mtu

Tunasimama na watumishi hawa wa Mungu:

Haki huinua taifa.
Nasi tutafanya hivyo Kwa Hawa wetu.
 
Back
Top Bottom