Waziri wa Mambo ya Ndani aagiza Polisi Kanda Maalum ya Dar kumsaka na kumhoji Askofu Mwingira

Yule mfanyabiashara Moshi aliyeteswa na sabaya alipoenda kusema ...Sabaya akafanywaje?

Yaani ulitegemea Mwingira amwambie nani?
 
"...ni ajabu kama yote hayo alitendewa na bado hakuwasilisha malalamiko kwenye vyombo vya dola inaleta ukakasi."

"...hivi kweli utendewe yote hayo muda wote huo ndiyo usubiri hasi Krismasi useme?!" Amehoji Simbachawene.

"....kwasababu yupo hapa Dar es Salaam na ametoa tuhuma nzito namna ile namuagiza sasa Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam amwite na amuhoji kuhusu tuhuma hizo." Amesema Simbachawene Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi.

Chanzo Millard Ayo.
Nadhani ingependeza kama Mh.Waziri angeipeleka hoja ya kumhoji mtumishi wa Mungu kwa IGP badala ya kwa Kamishna kanda maalum.
Secondly...mahojiano yawe live(bayana)huenda wananchi wakajitokeza kusaidia kama yule shahidi kwenye kesi ya kina Mh.Mbowe aliyoonhewa Qiewns language fluently na akaĺeta vacobulary mpya MCHONGO

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Hii move ilikuwa expected maana wasingeweza kukaa kimya. Ni jambo jema though.

Mwingira akawataje hao waliomkosakosa kumuua mara tatu ili Simbachawene na jeshi lake wakawasake.

Kwenye issue ya “ushetani” na “kuiba kura” nahisi watajifanya kama vile hawakulisikia maana haikutajwa ni Ikulu au Serikali ipi
Ataulizwa ni ikulu ipi!!?..bahati hakuna ikulu iliyothibitika kuiba kura au kuwa ya ibilisi duniani,kazi anayo
 
Nadhani ingependeza kama Mh.Waziri angeipeleka hoja ya kumhoji mtumishi wa Mungu kwa IGP badala ya kwa Kamishna kanda maalum.
Secondly...mahojiano yawe live(bayana)huenda wananchi wakajitokeza kusaidia kama yule shahidi kwenye kesi ya kina Mh.Mbowe aliyoonhewa Qiewns language fluently na akaĺeta vacobulary mpya MCHONGO

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Yaani polisi wafanye mahojiano live!!..umevimbiwa pilau!!?
 
Huyu mjinga alikubali wito wa Jeshi la Polisi imekuaje aamukie airport badala ya kituo cha polisi, watu bado hamjifunzi kusoma alama za nyakati…

Kitendo cha kusema Ikulu ilikuwa na shetani, moja kwa moja amemgusa Mama yetu Samiah Suluhu Hassan maana ndio alikuwa Makamu na Msaidizi wa Hayati shutuma zote mnazomtupia Hayati JPM moja kwa moja zinamgusa Mama pia..

Lazma akayatolee maelezo kauli alizotoa basi..
Anakimbia Tena!?
 
Amuhoji kama fulani alikuwa shetani au sio shetani ?

Mbona Kuna watu walitekwa na hawakusema walivyotoka au na wenyewe waende kuhojiwa kwanini hawakusema...

Sikubaliani na aliyesema ila ninakataa zaidi kujaribu kumkataza anayesema asiongee
 
Wewe Simbachawene mwenyewe ulitulia kama maji ya mtungi usicheze na Hayati JPM....
Kila kona watu walifyata....itakuwa Mwingira....
Nchi ngumu sana hii...

Mbona lisu, zito, jpm na wengine wengi walisema wabanusurika kuuawa. Yeye mbona alikaa kimya?
 
Simbachawene Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, unda tume huru ya kuchunguza kifo cha JPM .
.Usisubiri hadi 2025 wananchi wanahoji na Hakuna majibu na majawabu sahihi kuhusu kifo cha JPM.
Mwenyekiti wa tume hiyo awe Dr Bashiru Ally Kakurwa na mke wa marehemu JPM awe mjumbe wa hiyo tume.
Nani alikuambia kuwa waziri ana mamlaka ya kuunda tume??
 
Kuna zoom nilisikiliza mwanzo wa mwezi huu iliyowashirikisha wazanzibari, diaspora na ACT walishiriki, walifanya harambee kwa ajili ya matibabu ya wahanga wa uchaguzi 2020. Pengine na hawa waziri awatumie polisi.
 
"...ni ajabu kama yote hayo alitendewa na bado hakuwasilisha malalamiko kwenye vyombo vya dola inaleta ukakasi."

"...hivi kweli utendewe yote hayo muda wote huo ndiyo usubiri hasi Krismasi useme?!" Amehoji Simbachawene.

"....kwasababu yupo hapa Dar es Salaam na ametoa tuhuma nzito namna ile namuagiza sasa Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam amwite na amuhoji kuhusu tuhuma hizo." Amesema Simbachawene Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi.

Chanzo Millard Ayo.

=====

Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene ameelekeza Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar kumtafuta Askofu Josephat Mwingira na kupata maelezo zaidi, kufuatia tuhuma mbalimbali alizotoa ikiwemo kutishiwa maisha

Amesema, "Ni tuhuma nzito, zinapotolewa na Kiongozi wa Kijamii/Kidini na ambaye ni maarufu na anajulikana tunapata shida kidogo. Kama matukio haya yote ndivyo yalikuwa yanatokea kwanini hatoi taarifa Polisi ili hatua ziweze kuchukuliwa kuwatafuta wahusika"

Ameongeza, "Tamko la Askofu Mwingira mimi nimelisikia kwenye Mitandao. Nimepata 'clip' lakini sijasikia vizuri maana kama haina sauti. Bado tunaendelea kulifuatilia"
Huyu waziri ni hopeless, ungeanzia wapi kulalamika kwenye utawala uliojaa kila aina ya ukatili?
 
Kama matukio haya yote ndivyo yalikuwa yanatokea kwanini hatoi taarifa Polisi ili hatua ziweze kuchukuliwa kuwatafuta wahusika"
Kuna Serikali zaidi ya hiyo ambayo ndo inatuhumiwa kutaka kumpoteza 3 times?
Ninachojua hamna ambacho serikali inaweza kumfanya Nabii Mwingira, wataishia kuhitilafiana na bad consequences zaidi kwa kila ambaye atatia pua sakata hili. Wakati mwingine ni bora kuchutama kuficha nyeti zako.
 
Simbachawene Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, unda tume huru ya kuchunguza kifo cha JPM .
.Usisubiri hadi 2025 wananchi wanahoji na Hakuna majibu na majawabu sahihi kuhusu kifo cha JPM.
Mwenyekiti wa tume hiyo awe Dr Bashiru Ally Kakurwa na mke wa marehemu JPM awe mjumbe wa hiyo tume.
Hilo jitu katiri lilikkufa kwa Corona
 
Simbachawene Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, unda tume huru ya kuchunguza kifo cha JPM .
.Usisubiri hadi 2025 wananchi wanahoji na Hakuna majibu na majawabu sahihi kuhusu kifo cha JPM.
Mwenyekiti wa tume hiyo awe Dr Bashiru Ally Kakurwa na mke wa marehemu JPM awe mjumbe wa hiyo tume.
Kuunda tume kuchunguza kifo cha shetani ni kupoteza hela bure,labda kama mnataka kumpa zawadi aliemuua
 
Wameamua kwamba Askofu Mwingira ahojiwe na polisi:

Nabii Mwingira kuhojiwa na Polisi

Yaonyesha Askofu Mwingira kaongea wakubwa wasiyopenda kuyasikia.

Hoja hujibiwa kwa hoja. Hoja haipingwi kwa rungu.

Kauli za maonyo ya Mwingira si ya kwanza:

IMG_20211227_112550_315.jpg

Vipi kwa Askofu Gwajima mbona waheshimiwa hawa hawakuona umuhimu wake, kuhojiwa na polisi?

Sera zenu hizi za kibaguzi hazisaidii kitu, bali zinazidi kurutubisha chuki.

Tumeyasikia kwa Mzee wa Upako, Askofu Shoo, Askofu Mwingira, na bado:

Maaskofu wataka haki kwa kila mtu

Tunasimama na watumishi hawa wa Mungu:

Haki huinua taifa.
 
Wana haki ya kumuhoji, maana tuhuma zimetolewa kwa Serikali....wasiishie tu kumuhoji bali waanzishe uchunguzi dhidi yake juu ya yote anayosema ametendewa ukweli wale ujulikane..
Uchunguzi dhidi yake ? Hapo mbona kama vile una maanisha yeye ndo mtuhumiwa?
 
"...ni ajabu kama yote hayo alitendewa na bado hakuwasilisha malalamiko kwenye vyombo vya dola inaleta ukakasi."

"...hivi kweli utendewe yote hayo muda wote huo ndiyo usubiri hasi Krismasi useme?!" Amehoji Simbachawene.

"....kwasababu yupo hapa Dar es Salaam na ametoa tuhuma nzito namna ile namuagiza sasa Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam amwite na amuhoji kuhusu tuhuma hizo." Amesema Simbachawene Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi.

Chanzo Millard Ayo.

=====

Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene ameelekeza Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar kumtafuta Askofu Josephat Mwingira na kupata maelezo zaidi, kufuatia tuhuma mbalimbali alizotoa ikiwemo kutishiwa maisha

Amesema, "Ni tuhuma nzito, zinapotolewa na Kiongozi wa Kijamii/Kidini na ambaye ni maarufu na anajulikana tunapata shida kidogo. Kama matukio haya yote ndivyo yalikuwa yanatokea kwanini hatoi taarifa Polisi ili hatua ziweze kuchukuliwa kuwatafuta wahusika"

Ameongeza, "Tamko la Askofu Mwingira mimi nimelisikia kwenye Mitandao. Nimepata 'clip' lakini sijasikia vizuri maana kama haina sauti. Bado tunaendelea kulifuatilia"
Hakuna cha ajabu hapo. Akina Lissu walitoa taarifa hakuna kilichofanyika. Sasa kulikuwa na haja gani kwa Mwingira kutoa taarifa kwa Hali iliyokuwepo.
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom